Biashara ya Duka la nyama (Butcher).

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
4,632
Reaction score
1,773
Habari wana Jukwaa,

Kama kichwa kinavyoeleza, nafikiria kufungua biashara husika ila kabla ya kufungua nimeona nilete uzi jukwaani ili nipate maelekezo kutoka kwa watu wenye uzoefu na biashara hii, hasa ni vitu gani muhimu napaswa kuwanavyo kabla ya kuanza.

Natanguliza shukrani.
 
Mimi naina bora nisaidie kwenye neno 'butcher' kwani huyu ni muuzaji duka lenyewe ni 'butchery' ni hayo tu na Mungu akubariki.
 
Hakuna anayefanya hii biashara kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…