Biashara ya Duka la vifaa vya ujenzi inauzwa( Hardware)

Biashara ya Duka la vifaa vya ujenzi inauzwa( Hardware)

Thamani hiyo ni kwa vitu viliyopo dukani na kodi ya jengo kwa muda gani? Toa mchanganuo nipange kuja kuona.
Thamani in a include vyote umetaja, kodi inaisha mwezi Wa nane
 
Ya kawaida sana ila sikutaka tu kuitaja maana haitikuwa na maana unless mtu mwenyewe aje na kujionea biashara yenyewe..........
Hapana ina maana kubwa sana coz baada ya kutaja inamsaidia ata yule mwenye uhitaji kujua kama atamudu bei au laah wengine waoga kuja kuangalia bila kujua garama wanaona kama vile watapoteza muda
 
Hapana ina maana kubwa sana coz baada ya kutaja inamsaidia ata yule mwenye uhitaji kujua kama atamudu bei au laah wengine waoga kuja kuangalia bila kujua garama wanaona kama vile watapoteza muda
Shukrani sana kiongozi kwa mchango wako chanya
 
sasa wakija watu 1000 kuangalia na wote wapitie daftari la mauzo huoni ni hatari ? ysipo uza c wataiba tena mana mtu atajua baada ya wiki unapata bei gan
 
Back
Top Bottom