stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
- Thread starter
-
- #21
Thamani in a include vyote umetaja, kodi inaisha mwezi Wa naneThamani hiyo ni kwa vitu viliyopo dukani na kodi ya jengo kwa muda gani? Toa mchanganuo nipange kuja kuona.
Mbona bei ya kawaida tu boss ulikuwa unaogopa tu kutajaAcha tu nitaje bei kulingana na matakwa ya wengi humu ndani ila ingefaa sana mtu kuja na kujionea.
Thamani ya biashara yenyewe ni MILIONI 11
Ya kawaida sana ila sikutaka tu kuitaja maana haitikuwa na maana unless mtu mwenyewe aje na kujionea biashara yenyewe..........Mbona bei ya kawaida tu boss ulikuwa unaogopa tu kutaja
Hapana ina maana kubwa sana coz baada ya kutaja inamsaidia ata yule mwenye uhitaji kujua kama atamudu bei au laah wengine waoga kuja kuangalia bila kujua garama wanaona kama vile watapoteza mudaYa kawaida sana ila sikutaka tu kuitaja maana haitikuwa na maana unless mtu mwenyewe aje na kujionea biashara yenyewe..........
Shukrani sana kiongozi kwa mchango wako chanyaHapana ina maana kubwa sana coz baada ya kutaja inamsaidia ata yule mwenye uhitaji kujua kama atamudu bei au laah wengine waoga kuja kuangalia bila kujua garama wanaona kama vile watapoteza muda