Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Ni tarehe 12 mwezi wa nane,
Je una duka la vifaa vya ujenzi?
Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi?
Vipi ulilipwa kwa wakati?
Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje?
Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu mazuri, Wakati huo huo wateja wanakuja na bei zao wanazozijua,nikihoji na kuwapa utaratibu wangu,wananitisha.
Vibali vyote na leseni vipo ila bado naambiwa havitanisaidia ikiwa nitaleta kibri.jamani hii biashara mbona ngumu? Ni afadhali mteja anayenunua bati mbili au mfuko mmoja wa saruji,
Kuliko mteja anayetaka bati elfu Moja,mia mbili analipia mianane anataka umdai,au mifuko ya saruji miasita analipia mia tu,miatano anakwambia mpaka wakae wapige mahesabu,halafu siku zinaenda .
Ni maneno ya mlevi mmoja nimemnukuu kipindi tunasubiri game ya Yanga na Azam