Biashara ya Elon Musk ilikuwa hatarini kufa kwa kuwa upande wa Trump, Kinachoendelea ni script ya kuokoa biashara aonekane kahama upande

Biashara ya Elon Musk ilikuwa hatarini kufa kwa kuwa upande wa Trump, Kinachoendelea ni script ya kuokoa biashara aonekane kahama upande

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
ni script kama ya mieleka wanayoicheza pamoja na Trump.

Elon kawa na mchango mkubwa sana hasa kwa kina Trump na chama chake cha Reoublicans, Pesa za Elon Musk ndizo zilifanikisha dunia ipate mtandao unaojali uhuru wa maoni (Zuckbereg wa facebook na insta ni muoga sana kaanza kuongea kuingiliwa uendeshaji baada ya Trump kushinda), kabla Elon hajainunua Twitter, walikuwa wameanza kubana freedom of speech kwa wapinzani wa Biden, wengi sana walipigwa block na waliseti system ikiona post zinazohusu upinzani zinaminywa zisifikie wengi au

Pesa hizi zinatoka kwenye biashara za Elon Musk, tangu kipindi hicho upande wa left wing walipoona Elon Musk yupo upande wa Right Wing wa kina Trump wakaanza mission ya kuharibu biashara zake ikiwemo kuwatia hofu wanaotumia magari yake kwa kuyalipua na kuyachoma moto, hawa upande wa left huwaga ni nusu vichaa, entitled na wanajua vizuri sana kucheza michezo ya kujitia uvictim.

Elon alishaona biashara zake zinaenda kufa kwa sababu tu kawa upande wa right wing, busara ilibidi zitumike kufanya kila namna aonekane kajitoa upande huo na ndicho tunachokiona kikiendelea ikiwemo kumchafua Trump kwa mambo mengi ambayo yalishatumika kumchafua kipindi cha nyuma,
 
Kaka wewe ni Genius sana sina shaka kabisa na shule yako
Tesla ilishuka mauzo sana Ulaya magari yalikuwa Yana rudishwa, Canada hawayataki , 🇺🇸 Nako yakaonekana kama taka taka lelile la cbyertrak watu wakali chambua vizuri kumbe ni magari uliowekwa gundi baadhi ya sehemu na pia kwenye snow Ni libovu Hivyo kasoro zake zikawekwa wazi na jamaa ni mtu wa propaganda kukuza biashara zake naona alipewa , ushauri telsa itapotea fasta kuliko , Skype Au Nokia .
Hivyo ile ni script gari kuaminisha wholesaler waendelee kubaki na hizo gar na kuzisambaza tena.
 
Watajuwana wenyewe wapuuzi wawili
 
Mkubwa wewe umewaza kama mimi sioni kabisa sababu ya Musk na Trump kugombana hiyo ni mbinu ya kuiokoa Tesla, kwenye siko la Ulaya imepotea kabisa hapo anatafuta trust ya kurudi kwenye market value yake awali na kugain trust ya Royal fans wake.
 
Back
Top Bottom