ni script kama ya mieleka wanayoicheza pamoja na Trump.
Elon kawa na mchango mkubwa sana hasa kwa kina Trump na chama chake cha Reoublicans, Pesa za Elon Musk ndizo zilifanikisha dunia ipate mtandao unaojali uhuru wa maoni (Zuckbereg wa facebook na insta ni muoga sana kaanza kuongea kuingiliwa uendeshaji baada ya Trump kushinda), kabla Elon hajainunua Twitter, walikuwa wameanza kubana freedom of speech kwa wapinzani wa Biden, wengi sana walipigwa block na waliseti system ikiona post zinazohusu upinzani zinaminywa zisifikie wengi au
Pesa hizi zinatoka kwenye biashara za Elon Musk, tangu kipindi hicho upande wa left wing walipoona Elon Musk yupo upande wa Right Wing wa kina Trump wakaanza mission ya kuharibu biashara zake ikiwemo kuwatia hofu wanaotumia magari yake kwa kuyalipua na kuyachoma moto, hawa upande wa left huwaga ni nusu vichaa, entitled na wanajua vizuri sana kucheza michezo ya kujitia uvictim.
Elon alishaona biashara zake zinaenda kufa kwa sababu tu kawa upande wa right wing, busara ilibidi zitumike kufanya kila namna aonekane kajitoa upande huo na ndicho tunachokiona kikiendelea ikiwemo kumchafua Trump kwa mambo mengi ambayo yalishatumika kumchafua kipindi cha nyuma,