Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
deep freezer linahitajika.naomben msaada wenu namna ya kuanzisha fast food,vitu vinavyohitajika na changamoto zake,.nahitaj mawazo yenu plz..,nitangulize shukrani....
Fanya survey ya location, then angalia who is your target stakeholders. Fanya research for those who are conducting the same business around the place you want to establish your business, then angalia prices,, maana utakachouza cyo kitu kigeni,, pia kinauzwa, angalia wht you can offer the customer avutiwe na kuja kwako, then find out your competitors wana weakness gani katika suala zima la services ,? suala la capital ni uwezo wako tu kwamba how many services you want to offer to your customers, quantity of your products, pamoja na ukubwa wa eneo.
NADHANI HIZO TIPS ZITAKUSAIDIA.