Biashara ya fast food

Biashara ya fast food

Makoma106

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
10
Reaction score
3
Naomben msaada wenu namna ya kuanzisha fast food,vitu vinavyohitajika na changamoto zake,.nahitaj mawazo yenu plz..,nitangulize shukrani....
 
kaa chini andaa business plan, kama hujui tafuta expert then ukishafanya hivyo ndo uombe mawazo ya vipengele vinavyoleta shida,, you cant get everything cooked on table kirahisi,, make some efforts tujue ulipokwama. You don even know vinavyoitajika, we una mpango wa kuanzisha business kweli. BE SERIOUS
 
Thax bro,.bt nko serios na ndo maan nikauliza pia,..
 
kaa chini andaa business plan, kama hujui tafuta expert then ukishafanya hivyo ndo uombe mawazo ya vipengele vinavyoleta shida,, you cant get everything cooked on table kirahisi,, make some efforts tujue ulipokwama. You don even know vinavyoitajika, we una mpango wa kuanzisha business kweli. BE SERIOUS
.. Thax bro,.bt nko serios na ndo maan nikauliza pia,..
 
Fanya survey ya location, then angalia who is your target stakeholders. Fanya research for those who are conducting the same business around the place you want to establish your business, then angalia prices,, maana utakachouza cyo kitu kigeni,, pia kinauzwa, angalia wht you can offer the customer avutiwe na kuja kwako, then find out your competitors wana weakness gani katika suala zima la services ,? suala la capital ni uwezo wako tu kwamba how many services you want to offer to your customers, quantity of your products, pamoja na ukubwa wa eneo.
NADHANI HIZO TIPS ZITAKUSAIDIA.
 
Hii nimeipenda nahisi kui-apply ktk project zangu zijazo inshaallah
 
Fanya survey ya location, then angalia who is your target stakeholders. Fanya research for those who are conducting the same business around the place you want to establish your business, then angalia prices,, maana utakachouza cyo kitu kigeni,, pia kinauzwa, angalia wht you can offer the customer avutiwe na kuja kwako, then find out your competitors wana weakness gani katika suala zima la services ,? suala la capital ni uwezo wako tu kwamba how many services you want to offer to your customers, quantity of your products, pamoja na ukubwa wa eneo.
NADHANI HIZO TIPS ZITAKUSAIDIA.
..........thax bro
 
Ushawahi kufanya biashara?

nini kimekuvutia kutaka kuanzisha fast food?

Fast food ya aina gani unataka kuanzisha?

Una plan gani na biashara yako?

Wapi unataka iwe wapi kwenye miaka 5 ijayo?

Umepanga kuanza na mtaji wa kiasi gani?

Kwa mtazamo wako nani watakuwa wateja wako wakubwa/walengwa?
 
Ushawahi kufanya biashara?

nini kimekuvutia kutaka kuanzisha fast food?

Fast food ya aina gani unataka kuanzisha?

Una plan gani na biashara yako?

Wapi unataka iwe wapi kwenye miaka 5 ijayo?

Umepanga kuanza na mtaji wa kiasi gani?

Kwa mtazamo wako nani watakuwa wateja wako wakubwa/walengwa?....
sijawahi ndo mara ya kwanza,.
Ndo biashara nayoipenda..
Chips,matunda,na vinywaj like maji,soda,juic...
Iwe fast food ya kimataifa mtaj lak 5..
Wote,.
 
Back
Top Bottom