tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Waungwana habari za jumapili? Wakati flani nilipotembea hapo DSM nilishingazwa nilipokutana mtaani na jamaa ambaye alijivalia vizuri huku akiwa na kipaza sauti akitangaza kuwa yeye ana nunua Fedha chakavu/mbovu. Msisitizo wake ilikuwa ni kununua Fedha za Kitanzania na Dollari.
Huku mkoani wengine tulizoe kusikia biashara ya chuma chakavu na tuna ambiwa hurudisha katika viwanda husika kufanyiwa recycling. Sasa hapa jF wako watu ambao wana maajuzi mbambali . Mnisaidie na wengine tujue hii biashara ya Fedha chavu inaendeshwa je? Angala na jua hapa Tanzania hatuna kiwanda cha kutengeneza Fedha halali labda vile vya fedha feki ambavyo twasikiwa watuhumiwa wakikanatwa na vyombo vya dola. Asanteni inadvance.