Biashara ya fedheha iliyonitoa kwenye umasikini

Hili gari silipandi ng'oooooo
 
Dah jf usipokuwa makini unaweza jiona wewe mzembe watu wanatoka kila siku kwa vitu vya kawaida, kumbe ni mastori ya town
 
Nchi yetu watu wanaotupenda hatuwajui na watu wanaotuchukia hawatufahamu

Thread in a nutshell[emoji993]
Bwana eeenh😆😆😆kwaio mtaji wa buku tano tena chenji ya mama ntilie ndo imekutoa kimaisha???. Ivi wengine tunakwama wapi haibooo..🤣🤣🤣Yani watu wanawekeza mamilioni ya pesa huku wakirejesha well below 10% ROI kwa mwezi afu nyie mnakuja na mapicha picha haya🚮🚮Anyways kila mtu na hustle zake, ila usichukue tu hela za wanyonge kwa kutaka kuwauzia strategy zako nyuma ya pazia.
 
Ila watu wanabisha bure, hakuna kinachoshindikana mbona hata mm nilianzaga na mtaji wa elfu 5 kuuza makande kwa kuunga unga njia za masoko nazojua mpaka kufikia kupata faida ya 30k Kila siku
 
Aaaah. Yaan jamii forum sometimes unapoandika mada humu inabid uwe strategic sana.
Hahaaahaa.
Yan uzi ukiwa na loophole tu wata critisize sana wana
 
Ila watu wanabisha bure, hakuna kinachoshindikana mbona hata mm nilianzaga na mtaji wa elfu 5 kuuza makande kwa kuunga unga njia za masoko nazojua mpaka kufikia kupata faida ya 30k Kila siku
Siyo wabishi mkuu. Ukieleza kitu eleza tu vizuri watu wajifunze na kukuhongeresha siyo unadanganya waziwazi. Hustle za kweli zinajulikana tu mbona? Siyo leo unasema eti Forex imekutajirisha within a year na hukuwa na mtaji halafu uzi wako uliopita umeelezea jinsi Forex hiyo hiyo ilivyokufilisi. Mkanganyiko eeeh!?

Ukipata muda nawe tueleze hiyo hustle yako ya kuuza makande ili tujifunze [emoji1545]
 
Dogo naona wewe bado mpya sana humu Jeiefu....

Hio forex ilikuja humu toka kipindi wewe bado unachapwa viboko shuleni na hadi leo hakuna aliyekuja na Success story zaidi ya Ontario (SirJeff) ambae nae ni tapeli tu kwa baadhi ya watu..

Acha kufanya vijana waone maisha ni rahisi hvo kwa kauli kama za kudownload pesa
 
Asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…