Biashara ya fruit salads

Biashara ya fruit salads

meaganita

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
439
Reaction score
645
Salaam,

Mimi ni msichana mwenye miaka 25, nina elimu ya diploma nipo Dar es Salaam. Nimeamua kijiajiri kwa kuanzisha biashara ya matunda mchanganyiko na kupeleka maofisini.

Nimelileta kwenu wadau wazo langu ili mnipe ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara hii. Na wapi naweza kupata vifungashio kwa bei nzuri kwani mtaji wangu ni laki moja.

NATANGULIZA SHUKRANI
 
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] peleka vyuoni kuna soko sana
 
upo dar sehemu gani ,pita pale sinza makaburini kuna sehemu, the place, wanauza fruits salad watakupa msaada zaidi wa wapi take away box zinapatikana kwa bei nafuu
 
Hongera kwa kuamua kujiajiri, jaribu kuleta vyuoni huku utapata wateja sometimes unaweza pata wateja wa kudumu.... Jaribu vyuo au colleges za private wateja wapo wengi,au mitaa yenye maofisi pia.
 
upo dar sehemu gani ,pita pale sinza makaburini kuna sehemu, the place, wanauza fruits salad watakupa msaada zaidi wa wapi take away box zinapatikana kwa bei nafuu
Sante sana
 
L
Hongera kwa kuamua kujiajiri, jaribu kuleta vyuoni huku utapata wateja sometimes unaweza pata wateja wa kudumu.... Jaribu vyuo au colleges za private wateja wapo wengi,au mitaa yenye maofisi pia.
asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom