Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekupata mdau,ila kiufupi ni genge sema linakua kwenye frame na sio kibanda au meza kama wengi wanavyofanya.hapo ndio nastack kidogo kua je nini hasa chahitajika?maana mamlaka zetu wakishaona upo kwenye frame basi lazima ulipe.muongozo tafadhalibiashara yyte ambayo inalipa kodi lazima iwe na TIN na LESENI.
hizo spices na vegatables kama ni za packages kuna umuhimu wa kuwatembelea TFDA watakupa muongozo.
hapo lazima TIN na LESENI uwe navyo...maana si unalipia kodi ya frame, hata wale wa magenge wanatakiwa kuwa navyo ila si Tanzania tena unaijua.nimekupata mdau,ila kiufupi ni genge sema linakua kwenye frame na sio kibanda au meza kama wengi wanavyofanya.hapo ndio nastack kidogo kua je nini hasa chahitajika?maana mamlaka zetu wakishaona upo kwenye frame basi lazima ulipe.muongozo tafadhali
1. Suala la TINHabari wadau,naomba ushauri kidogo,ukiwa mfano umekodisha frame na ukaamua kufungua au kuweka bidhaa za matunda,spices na mbogamboga,Je ni vibali gani utahitajika uwe navyo?msaada kwa anayejua tafadhali
Kwa maelezo haya bila shaka wewe ni afsa huko kwa wakusanya kodi. Asante kwa elimu.1. Suala la TIN
Mkuu kuwa na TIN inatakiwa kwa raia wote pasipo kujali wafanya biashara au laa. Matumizi ya TIN utaona ya biashara na isiyo ya biashara. Kwa mantiki hii bhasi unalazimika kuwa na TIN tena ya biashara
2. Kulipa kodi TRA
Malipo ya kodi inategemea vlvl kutokana na mauzo yako. (Kwa kuzingatia wa kifungu cha 35 cha Sheria ya usimamizi wa kodi ktk utunzaji wa kumbukumbu), mauzo yasiyozidi mil 4 kwa mwaka haustahili kulipa kodi hata kama umepanga ktk fremu hiyo ya biashara
3. Je ntakata leseni ya biashara?
Laa hasha huwezi kukata leseni ya biashara ila utaangukia katika kundi la biashara ndogondogo za kulipa ushuru. Hivyo anapopita mtoza ushuru wa eneo lako tafadhali toa ushirikiano.
Tafadhali
Sijasema hustahili kuwa na TIN, unatakiwa kuwa na TIN tena ya biashara lakini kiwango cha kulipa kodi utakuwa haujafika kama mauzo hayazidi mil 4 kwa mwaka
Ni kweli MkuuKwa maelezo haya bila shaka wewe ni afsa huko kwa wakusanya kodi. Asante kwa elimu.
Ila Magenge yaliyo mengi hesabu ya milioni 4 yanafikisha kwa mwaka. Maana ili ufikoshe milion 4 inatakiwa uuze wastani wa sh. 11,000 kwa siku.
Hivyo jamaa kama ni muaminifu itabidi alipe kodi tu na leseni awe nayo. Nasema kama ni muaminifu kwa sababu tunapokuja TRA kukadiliwa kodi huwa mnauliza unauza sh. ngapi kwa siku, hivyo kama anauza elf 50 na akadanganya anauza elf 8 tayar kashasalimika kwenye kulipa kodi.
Mkuu hili sio kwelimkuu kumbuka kiasi utakachoenda kadiriwa na hao TRA ni mtaji wako mara mbili
tujifunze kukwepa kodi ili tuwe na maeendel, huwezi endelea Kwa kulipa kodi bali utaendaleza taifa tu
Kwa Maelezo yake... it's very likely that,,,majadirio ya biashara yake yata-base kwenye mauzo badala ya mtaji!!!mkuu kumbuka kiasi utakachoenda kadiriwa na hao TRA ni mtaji wako mara mbili
tujifunze kukwepa kodi ili tuwe na maeendel, huwezi endelea Kwa kulipa kodi bali utaendaleza taifa tu
Ni kweli hili lina sura hii. Lkn kwa sasa suala la TIN na malipo ya kodi lipo hivi. Jamaa akaombe TIN ya biashara na atapewa TAX CLEARANCE CERTIFICATE, ambapo ndani ya siku 90 atatkiwa kwenda kulipa kodi. Sasa anachofanya ataandika barua kuwa mauzo yake ni madogo.Kwa Maelezo yake... it's very likely that,,,majadirio ya biashara yake yata-base kwenye mauzo badala ya mtaji!!!
kwa maana hiyo mdau ninachotakiwa kuwa nacho ni Tin tu,then ushuru watakuja kupitia wenyewe wanapopita?je suala la anayeuza kama nimemuweka kijana lazima apime afya?also swala la kuongea na watu wa TFDA na kulipia 50,000/-limekaaje?pole maswali mengi kidogo ila ndio kutaka kuelewa,asante1. Suala la TIN
Mkuu kuwa na TIN inatakiwa kwa raia wote pasipo kujali wafanya biashara au laa. Matumizi ya TIN utaona ya biashara na isiyo ya biashara. Kwa mantiki hii bhasi unalazimika kuwa na TIN tena ya biashara
2. Kulipa kodi TRA
Malipo ya kodi inategemea vlvl kutokana na mauzo yako. (Kwa kuzingatia wa kifungu cha 35 cha Sheria ya usimamizi wa kodi ktk utunzaji wa kumbukumbu), mauzo yasiyozidi mil 4 kwa mwaka haustahili kulipa kodi hata kama umepanga ktk fremu hiyo ya biashara
3. Je ntakata leseni ya biashara?
Laa hasha huwezi kukata leseni ya biashara ila utaangukia katika kundi la biashara ndogondogo za kulipa ushuru. Hivyo anapopita mtoza ushuru wa eneo lako tafadhali toa ushirikiano.
Tafadhali
Sijasema hustahili kuwa na TIN, unatakiwa kuwa na TIN tena ya biashara lakini kiwango cha kulipa kodi utakuwa haujafika kama mauzo hayazidi mil 4 kwa mwaka
1. Suala la TFDAwote nimewaelewa kabisa na asanteni kwa mchango wenu,swala ni hivi,kinachosemekana ni kua Unaenda serikali za mitaa unatoa taarifa ili wakutambue,kisha pale kuna watu wa TFDA itabidi uzungumze nao kwa kua unaenda kuuza chakula then kuna form unajaza na kwenda kulipia bank around 50,000/- then hapo hapo serikali za mtaa utahitajika kuchukua form na kujaza kwa ajili ya kwenda kufanya medical check up na tsh 5000/- then unaenda TRA na TIN yako kama unayo na kupata tax clearance certfct then unaenda manispaa kuomba leseni ya biashara ambayo kwa mujibu wanasema 70,000/-.sasa hayo ndio mambo niliyokutana nayo kwa wadau.je kuna ukweli wowote?hapo sijajua ila nimeona bora kushare na wadau hapa mtujuze zaidi.
Usijali Mkuu maswali yako ni kheri kwa sote katika kupeana elimukwa maana hiyo mdau ninachotakiwa kuwa nacho ni Tin tu,then ushuru watakuja kupitia wenyewe wanapopita?je suala la anayeuza kama nimemuweka kijana lazima apime afya?also swala la kuongea na watu wa TFDA na kulipia 50,000/-limekaaje?pole maswali mengi kidogo ila ndio kutaka kuelewa,asante
Leseni inakulazimu pale unataka kutanua biashara yako kwa mkopo wa benki! Hupewi mkopo wa biashara bila up-to-date license! Mind you bila TIN na TC hupewi leseniUsijali Mkuu maswali yako ni kheri kwa sote katika kupeana elimu
Naomba unijibu haya maswali kwa upande wa kodi
1. Mtaji wako kiasi gani?
2. Mauzo yako kiasi gani?
3. Mapato unavyoona kwa mwaka unaweza kupata kiasi gani?
Suala la afya
Kama nilivyojibu pale juu, ushauri mzuri utapata kutoka kwa Afisa afya wa eneo husika ambapo ataangalia suala la kiafya likihusiana na vyakula unavyouza na mazingira. Kwa genge la kawaida hushauriwa kusumamia usafi lkn kama bidhaa za nyama ndiyo LAZIMA UTAAMBIWA TFDA wanahusika
Vlvl kutokana na mtaji kuwa mdogo sana wa wengi wanaofanya biashara za genge ndiyo maana huwa wanauchuna tu hafuatilii TIN wala leseni zaidi hulipa ushuru na vlvl kupewa mwongozo wa Afisa Afya "mtaani maarufu sana kama bibi afya" kwa zamani kutokana na wengi wao walikuwa wanawake
Hii uliyosema wewe tayari ni condition nyingine sio inayojadiliwa hapa. Nadhami hii ungeanzisha uzi wa Mahitaji ya taasisi za fedha katika kutoa mikopoLeseni inakulazimu pale unataka kutanua biashara yako kwa mkopo wa benki! Hupewi mkopo wa biashara bila up-to-date license! Mind you bila TIN na TC hupewi leseni