Biashara ya Hardware kwa 13M

Nilipoona unataka profit ya 3M kila mwezi nikajua umechanganyikiwa.

Yaaani uwekeze 13M (hapo hujazungumzia TRA, Manispaa, kodi ya pango, gharama za usafiri etc) unataka upate faida ya 3M kwa mwezi? Kuwa serious basi.


BTW, nafanya hii biashara. Kwanza inategemeana na mzunguko wa eneo uliopo. Pia, tegemea kupambana na kitu inaitwa Customer loyalty.

Goodluck,
Ingekuwa rahisi kupata faida ya 3m kwa mwezi kila mtu angefanya
 
Embu kunywa Kwanza hanschoice ili ufikiri tena na Kwa upembuzi yakinifu kutoka kwenye halmashauri ya kichwa chako chenye ubongo usio Tia Shaka na kutuondelea Shaka pia Sisi tunaokuzunguka
 
Biashara yangu ina 2yrs, haijaanza hata kujiendesha yenyewe.
Ingia ucheze ngoma ndio utajua utamu wake. Wachana na kusimuliwa story za Vijiweni
hello habari, je unatemea inaweza kukaa vizuri baada ya muda gani? 3-5 years? mimi nategemea kufungua bunju ila pembezoni kidogo hamna watu wengi
 
kwa mtaji wa m.13, siyo rahisi kupata profit ya m.3. Hata m.1.3 nayo bado siyo rahisi. Hardware inafaida kidogo sanaa. Na inakula pesa sana. Ninamiliki Hardware. Nina uzoefu wa kutoshq.
.
Hardware unauza mauzo makubwa......faida kiduchu.
 
You talk too much
 
Kibaha sehemu gani?
Vitu vidogo una maanisha nini? Muhimu weka "fast moving item".... vitu vinavyotoka mapema.....
 
At least mmenifungua kichwa nilitaka kujichomeka
Ninachokisikia kwenye hii biashara(Japo sijathibitisha) ni kuwa baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu hutumia njia ya wizi wa kupunguza vipimo au kunyofoa baadhi ya vifaa mfano bundles kwenye mabati nk ili kupata faida kubwa na ya haraka
NB.Ni tetesi tu
 
Aisee,inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…