MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
M3 faida kwa mtaji wa M13 kila mtu angefungua hiyo biashara ila kwakuwa mshadanganyana zama mzigoni ujionee maana unaonekana huelewi.Miezi sita mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M3 faida kwa mtaji wa M13 kila mtu angefungua hiyo biashara ila kwakuwa mshadanganyana zama mzigoni ujionee maana unaonekana huelewi.Miezi sita mkuu
Nilipoona unataka profit ya 3M kila mwezi nikajua umechanganyikiwa.Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake,
Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo,
Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu,
Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara,
Lengo nataka niwe nakunja japo 3M as profit ili niweze panua biashara,
Vipi wakuu natoboa au,
Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya hardware
Biashara yangu ina 2yrs, haijaanza hata kujiendesha yenyewe.Projected kipind cha mpito ni miezi 6 mkuu
kwa mtaji wa m.13, siyo rahisi kupata profit ya m.3. Hata m.1.3 nayo bado siyo rahisi. Hardware inafaida kidogo sanaa. Na inakula pesa sana. Ninamiliki Hardware. Nina uzoefu wa kutoshq.Labda ungesema 1.3M ingeelekea.
hello habari, je unatemea inaweza kukaa vizuri baada ya muda gani? 3-5 years? mimi nategemea kufungua bunju ila pembezoni kidogo hamna watu wengiBiashara yangu ina 2yrs, haijaanza hata kujiendesha yenyewe.
Ingia ucheze ngoma ndio utajua utamu wake. Wachana na kusimuliwa story za Vijiweni
HahaaaWakuu, kila mtu atasalimiwa kwake,
Hardware unauza mauzo makubwa......faida kiduchu.kwa mtaji wa m.13, siyo rahisi kupata profit ya m.3. Hata m.1.3 nayo bado siyo rahisi. Hardware inafaida kidogo sanaa. Na inakula pesa sana. Ninamiliki Hardware. Nina uzoefu wa kutoshq.
.
Ina tegemeana una uza nini mfano elbow ya ips half inch kariakoo 300 mtaani 1000 faida 700Hardware unauza mauzo makubwa......faida kiduchu.
At least mmenifungua kichwa nilitaka kujichomekaHardware unauza mauzo makubwa......faida kiduchu.
You talk too muchWakuu, kila mtu atasalimiwa kwake,
Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo,
Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu,
Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara,
Lengo nataka niwe nakunja japo 3M as profit ili niweze panua biashara,
Vipi wakuu natoboa au,
Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya hardware
Chomeka tu ndio utajiri wenyewe unakuja mdogo mdogoAt least mmenifungua kichwa nilitaka kujichomeka
Ni kweliChomeka tu ndio utajiri wenyewe unakuja mdogo mdogo
Mimi pia nina hiyo ndoto....At least mmenifungua kichwa nilitaka kujichomeka
Kibaha sehemu gani?Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake,
Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo,
Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu,
Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara,
Lengo nataka niwe nakunja japo 3M as profit ili niweze panua biashara,
Vipi wakuu natoboa au,
Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya hardware
Yeah,itimie mkuuMimi pia nina hiyo ndoto....
Ninachokisikia kwenye hii biashara(Japo sijathibitisha) ni kuwa baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu hutumia njia ya wizi wa kupunguza vipimo au kunyofoa baadhi ya vifaa mfano bundles kwenye mabati nk ili kupata faida kubwa na ya harakaAt least mmenifungua kichwa nilitaka kujichomeka
Aisee,inawezekanaNinachokisikia kwenye hii biashara(Japo sijathibitisha) ni kuwa baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu hutumia njia ya wizi wa kupunguza vipimo au kunyofoa baadhi ya vifaa mfano bundles kwenye mabati nk ili kupata faida kubwa na ya haraka
NB.Ni tetesi tu
Fanya utafiti na weweAisee,inawezekana