Biashara ya Hardware kwa 13M

Biashara ya Hardware kwa 13M

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake,

Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo,
Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu,
Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara,
Lengo nataka niwe nakunja japo 3M as profit ili niweze panua biashara,

Vipi wakuu natoboa au,
Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya hardware
 
Profit 3M kwa mwezi [emoji1][emoji1]
Anyway ingia mchezoni usije sema tunakukatisha tamaa!
Oooh, nipe experience yako mkuu kwenye hii biashara
 
Daaah wasomi wa Tanganyika.
New project na PROFIT 3 Million. Kila mwezi
Hakuna kipindi Cha mpito wala kutengeneza wateja wako.

New project with 3 million every month.
All the best.
Miezi sita mkuu
 
Kama utaweza jikite kwenye vifaa vya Plumbing, kule nimeona vifaida vya 7,000 hadi 12,000 kwa kila items.

Kama utapata Site nzuri unaweza kutengeneza 1M hadi 2M kwa mwezi, ila ukajumue vifaa kiwandani ama dealers wakubwa
 
Back
Top Bottom