Biashara ya hardware

Biashara ya hardware

duyudu

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
79
Reaction score
52
Habari zenu Wakuu,
Nahitaji kujua mahari vilipo viwanda vifuatavyo,
nondo,
square pipes,
mabati,
makomeo
bawaba,
misumari,
mapanga,
majembe,
gundi
,rangi,
 
Vingi hapo utapata kwenye maduka ya jumla ya vifaa vya ujenzi kariakoo
 
Back
Top Bottom