Ni gud idea mkuu!Habari wakuu,nataka kuanza biashara ya heavy duty equipments and machines kama vile mobile harbour cranes,cranes,(backhoe)Loaders,wheel loaders excavacator,reach stackers nk nninaomba aliye na experience ya hiyo biashara anielezee inavyoenda kabla sijaingia rasmi.
Asanteni
Mkuu Mimi niliaawaza hii biashara kabla nikafanya research. Hii biashara ni very capital intensive na to break even you need a market predictability. Something which is missing.
Majority ya wateja wako wana contract na government ambapo payment inachelewa sana. Also, lazima uwe na operator na wengi wana abuse the equipment so maintenance fee is a nightmare.
Loaders nzuri na unaweza kuuza kirahisi nunua caterpillar 966e 966f or 966h. Graders nzuri ni caterpillar 14g or 14h even 140h sio mbaya. Bull dozee ni caterpillar D8 or D9 or komatsu 155.Excavators nzuri ni caterpillar 320 or komatsu pc200/pc220 or hyundai 220. Cranes go for Tadano
Mkuu labda ungefafanua kwanza ktk biashara hiyo uta deal na nini,
Mfano 1. kuagiza mitambo mbalimbali(uwakala) +after sale services kama wafanyavyo CMC, D.T DOBIE,MANTRAC n.k
2. Kutoa huduma ya matengenezo na uuzaji wa vipuri kama wafanyavyo MPOMABIVA
3. Kuuza mitambo mbalimbali,vipuri,matengenezo, vipya na vilivyotumika.
Ushauri wangu kwa MINING & HARBOUR equipments ni bidhaa zisizo na mzunguko hapa kwetu,kwa kuwa ni wateja ni wachache na uagizaji wa vifaa ni wa kutoa order si wa moja kwa moja.
Kwa vifaa kama REACH STACKER, FRONT END LOADERS,SIDE LOADERS,FOLK LIFTS, hizi wateja wameshaanza kuwa wengi,uwakala au uuzaji wa mitambo na vipuri ni biashara nzuri kwa sasa na pia ni mawakala wachache tu wapo nchini,pia ni vizuri kama ungeangalia pia vifaa kama EXCUVATORS,WHEEL LOADERS, GRADERS,TOWER CRANES NK.
Kwa hivyo basi ni bora ungejikita katika uagizaji na utoaji wa huduma wa vifaa hivyo nilivyovitaja.