Biashara ya Hewa Ukaa ( Carbon dioxide)

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Anayefanya biashara ya hewa ukaa (carbon dioxide) naomba mawazo yenu. Ni miaka kadhaa sasa nilitaka kuingia kwenye hii biashara lakini nikaona malipo ni kidogo. Ilikuwa $12 per metric tonne!
 
Nipo kitu cha mbele mkuu,nangoja maarifa
 
Hiyo makitu najua kuna vijiji huwa vinauza na vinapata pesa ndefu tu mpaka Bilioni kadhaa ila Sasa vina misutu minene na mikubwa.

Sijawahi kusikia Kwa mtu mmoja mmoja Kwa sababu mtu mmoja kumiliki msitu wa ukubwa mfano wa hekta 100,000 sio Mchezo.
Pana mtu alikua na hekaa 500 za miti alikuwa anapata
 
Wachek jamaa wa carbon credit google,au SUA Morogoro au Wizara ya maliasili kitengo Cha misitu utapata msaada ZAIDI au Sao hill au makampuni makubwa ya miti njombe wanayo majibu.
 
Hiyo makitu najua kuna vijiji huwa vinauza na vinapata pesa ndefu tu mpaka Bilioni kadhaa ila Sasa vina misutu minene na mikubwa.

Sijawahi kusikia Kwa mtu mmoja mmoja Kwa sababu mtu mmoja kumiliki msitu wa ukubwa mfano wa hekta 100,000 sio Mchezo.
Maeneo ninayo ya kutosha. Nimejaribu kuwapigia wizara husika simu haipatikani
 
Wachek jamaa wa carbon credit google,au SUA Morogoro au Wizara ya maliasili kitengo Cha misitu utapata msaada ZAIDI au Sao hill au makampuni makubwa ya miti njombe wanayo majibu.
Shukrani sana mkuu. Carbon credit niliwasiliana nao muda kidogo ndio wakanipa hiyo bei ya $12 per metric tonne nikaona hailipi. Ngoja niwacheki hao wengine. Shukrani tena mkuu
 
Sina uhakika lakini ilikua ni pesa mingi Wana calculation zao wanapima carbon per square cubits.
Maelezo Yao yapo google jinsi wanavyolipa na Bei zao.
Andika neno caborn credit
Asante ngoja nitafute hiyo formula yao nione kama inalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…