Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafanya hii biashara??Nipo kitu cha mbele mkuu,nangoja maarifa
Ni kupitia miti ambayo inanyonya hewa ukaaShusheni madini wakuu,inakusanywa Kwa njia gani?
Mimea wakati wa mchana hutumia hewa ukaa na kutumia ile chanikiwiti( chlorophyl) hujitengezea chakula.Shusheni madini wakuu,inakusanywa Kwa njia gani?
Pana mtu alikua na hekaa 500 za miti alikuwa anapataHiyo makitu najua kuna vijiji huwa vinauza na vinapata pesa ndefu tu mpaka Bilioni kadhaa ila Sasa vina misutu minene na mikubwa.
Sijawahi kusikia Kwa mtu mmoja mmoja Kwa sababu mtu mmoja kumiliki msitu wa ukubwa mfano wa hekta 100,000 sio Mchezo.
C+O2--->CO2...., wadau njooni m-balance equation tu msaidie jamaa aelewe, mi naishia hapo.Watu wa chemestry njooni mnieleweshe.
Alikuwa anapata TZs ngapi?Pana mtu alikua na hekaa 500 za miti alikuwa anapata
Sina uhakika lakini ilikua ni pesa mingi Wana calculation zao wanapima carbon per square cubits.Alikuwa anapata TZs ngapi?
Maeneo ninayo ya kutosha. Nimejaribu kuwapigia wizara husika simu haipatikaniHiyo makitu najua kuna vijiji huwa vinauza na vinapata pesa ndefu tu mpaka Bilioni kadhaa ila Sasa vina misutu minene na mikubwa.
Sijawahi kusikia Kwa mtu mmoja mmoja Kwa sababu mtu mmoja kumiliki msitu wa ukubwa mfano wa hekta 100,000 sio Mchezo.
Shukrani sana mkuu. Carbon credit niliwasiliana nao muda kidogo ndio wakanipa hiyo bei ya $12 per metric tonne nikaona hailipi. Ngoja niwacheki hao wengine. Shukrani tena mkuuWachek jamaa wa carbon credit google,au SUA Morogoro au Wizara ya maliasili kitengo Cha misitu utapata msaada ZAIDI au Sao hill au makampuni makubwa ya miti njombe wanayo majibu.
Asante ngoja nitafute hiyo formula yao nione kama inalipaSina uhakika lakini ilikua ni pesa mingi Wana calculation zao wanapima carbon per square cubits.
Maelezo Yao yapo google jinsi wanavyolipa na Bei zao.
Andika neno caborn credit
maeneo yako yana ukubwa gani?Maeneo ninayo ya kutosha. Nimejaribu kuwapigia wizara husika simu haipatikani