Zipo za makambako ilembula na makambako to igwachanya ,makambako kitandililo na makambako to njombe na utambue makambako ni tambarare bajaji zinaingia Kila Kona hadi km 30 na Kuna bajaji za kutosha ni sawa na mji wa kahama na zingatia ni miji ya biashara watu wanataka kwenda chapu sio kuwekwa stendi.makambako hakuna hiace kwanini?
Zinaishia msamalaShule ya Tanga stand kuu hazifiki hizo bajaj Hadi mizani???
Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
Kibiashara za diesel ni gari za faidaNgojea nihamie huko,huko za petrol ndio zinafaa au
Bado songea idadi ya bajaji ni ndogo subir ziongezeke ndo utajua kwa Nini watu saiz hiace wanaamua ziende nje ya mji kama zimeathiri majiji makubwa sembuse songea sema kwa sababu nature ya songea ni milima na mabonde kama ilivyo njombe mjini lazima idadi itakuwa ndogoSONGEA MCZinaishia msamala
Bado songea idadi ya bajaji ni ndogo subir ziongezeke ndo utajua kwa Nini watu saiz hiace wanaamua ziende nje ya mji kama zimeathiri majiji makubwa sembuse songea sema kwa sababu nature ya songea ni milima na mabonde kama ilivyo njombe mjini lazima idadi itakuwa ndogoSONGEA MCView attachment 2835262NJOMBE View attachment 2835263
Makambako wamejiongeza daladala zimewekewa miji ya pembe zoni kama njombe ,mtwango ,ilembula ,igwachanya na kitandililo ukija kati ni mwendo wa bajaji za kuzidi uzuri wa makambako tayari makazi yanakamatana na vimiji vya pembeni kama ilembula, mtwango, igwachanya na kitandililoUpo sahihi sana ila songea itachelewa sana kufa hiace.
Makambako wamejiongeza daladala zimewekewa miji ya pembe zoni kama njombe ,mtwango ,ilembula ,igwachanya na kitandililo ukija kati ni mwendo wa bajaji za kuzidi uzuri wa makambako tayari makazi yanakamatana na vimiji vya pembeni kama ilembula, mtwango, igwachanya na kitandililoView attachment 2923767View attachment 2923768
Hi kwanini wasiweke costerMwanza wameshindwa kuondoa hiace
Hapana saiz miji mingi imeanza kutoka kwenye hiace na kuweka coster nenda mbeya utajifunza kituUkiona coaster mara nying safari inakuwa ndefu
Wasalimie Utwango karibu na Namabengo..Km ni 26 to 35 nakadiria na nauli ni elf 1. Bajaji kuna mahala zinaishia haziendi mbal kulingana na sheria walizoweka(by law). Kwa wanaoijua songea vizuri bajaji zinacheza toka stand ya mjini kwenda stand ya ruhuwiko(mbinga road) au kwenda stand ya seedfarm(namtumbo road) au msamala(njombe road). Nying znaenda ruhuwiko kutokana na ubize wa stand ya mbinga(ruhuwiko stand) bajaj naul ni 500
Uko vyema.Sasa nikutege kwa faida ya nani au mimi nimeomba hiace kwako? Mm nawapa njia ya kutumia hizo gari.
Huku kuna mtu anaitwa Paswero hiace zake anatumia jina la CNN anajumla ya hiace 36 na mwezi ujao unaongeza 10 tayari zinafanyiwa tu finishing Dar.
Kuna mwingne AGAPE Analeta 5, hivi zingekuwa hazina faida wangeleta kwa wingi huo?
Kama wewe ni agape unayeota kushika njia ya hospital ya peramiho peke yako sawa disheart others ili ufanikiwe.
Na kama wew ni cnn unaeota kuishka mlilayoyo na mtwangimbole peke yako swa wakatixhe wenzako tamaa.
Songea haiko mbali tafuta watu ulizia vizuri. Hata ukiweka gari stand ya mjin kwenda stand ya shule ya tanga ambayo naul mia 7 unapata hela.
Katika hli mim cpat faida wala hasara ukifanya au kuacha
Uko na roho nzuri sana...Tukiwa watz asilimia 45 kama wewe nchi itasogea sanaSasa nikutege kwa faida ya nani au mimi nimeomba hiace kwako? Mm nawapa njia ya kutumia hizo gari.
Huku kuna mtu anaitwa Paswero hiace zake anatumia jina la CNN anajumla ya hiace 36 na mwezi ujao unaongeza 10 tayari zinafanyiwa tu finishing Dar.
Kuna mwingne AGAPE Analeta 5, hivi zingekuwa hazina faida wangeleta kwa wingi huo?
Kama wewe ni agape unayeota kushika njia ya hospital ya peramiho peke yako sawa disheart others ili ufanikiwe.
Na kama wew ni cnn unaeota kuishka mlilayoyo na mtwangimbole peke yako swa wakatixhe wenzako tamaa.
Songea haiko mbali tafuta watu ulizia vizuri. Hata ukiweka gari stand ya mjin kwenda stand ya shule ya tanga ambayo naul mia 7 unapata hela.
Katika hli mim cpat faida wala hasara ukifanya au kuacha
asante ndgUko na roho nzuri sana...Tukiwa watz asilimia 45 kama wewe nchi itasogea sana
Duh hv ilembula ishaungana na makambako! Basi miji inakuwa kwa kasiMakambako wamejiongeza daladala zimewekewa miji ya pembe zoni kama njombe ,mtwango ,ilembula ,igwachanya na kitandililo ukija kati ni mwendo wa bajaji za kuzidi uzuri wa makambako tayari makazi yanakamatana na vimiji vya pembeni kama ilembula, mtwango, igwachanya na kitandililoView attachment 2923767View attachment 2923768
YAp yalibaki maeneo kama mwili ambayo yalikuwa wazi now yote wamepima na kuwekeza shule viwanda vya kusindika mazao nk mji unakimbia Ukienda mtwango hapo ni makazi yameshamiri pote toka makambako hadi mtwango ndo maana mkoa wa njombe umeamua lile eneo la makambako liwe la viwanda na biasharaDuh hv ilembula ishaungana na makambako! Basi miji inakuwa kwa kasi