Biashara ya Hiace bado inalipa Songea

Biashara ya Hiace bado inalipa Songea

.makambako hakuna hiace kwanini?
Zipo za makambako ilembula na makambako to igwachanya ,makambako kitandililo na makambako to njombe na utambue makambako ni tambarare bajaji zinaingia Kila Kona hadi km 30 na Kuna bajaji za kutosha ni sawa na mji wa kahama na zingatia ni miji ya biashara watu wanataka kwenda chapu sio kuwekwa stendi
1701873056158.jpg
1701872884941.jpg
1701873020602.jpg
1701872996958.jpg
MAKAMBAKO TC
FB_IMG_16728517915595809.jpg
IMG_20231130_103220_818.jpg
Kahama mc
2018-01-31-1200x675.jpg
IMG_0786.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16728517915595809.jpg
    FB_IMG_16728517915595809.jpg
    46.9 KB · Views: 7
Zinaishia msamala
Bado songea idadi ya bajaji ni ndogo subir ziongezeke ndo utajua kwa Nini watu saiz hiace wanaamua ziende nje ya mji kama zimeathiri majiji makubwa sembuse songea sema kwa sababu nature ya songea ni milima na mabonde kama ilivyo njombe mjini lazima idadi itakuwa ndogoSONGEA MC
FB_IMG_16867968254277595.jpg
NJOMBE
84992847.jpg
 
Upo sahihi sana ila songea itachelewa sana kufa hiace.
Bado songea idadi ya bajaji ni ndogo subir ziongezeke ndo utajua kwa Nini watu saiz hiace wanaamua ziende nje ya mji kama zimeathiri majiji makubwa sembuse songea sema kwa sababu nature ya songea ni milima na mabonde kama ilivyo njombe mjini lazima idadi itakuwa ndogoSONGEA MCView attachment 2835262NJOMBE View attachment 2835263
 
Upo sahihi sana ila songea itachelewa sana kufa hiace.
Makambako wamejiongeza daladala zimewekewa miji ya pembe zoni kama njombe ,mtwango ,ilembula ,igwachanya na kitandililo ukija kati ni mwendo wa bajaji za kuzidi uzuri wa makambako tayari makazi yanakamatana na vimiji vya pembeni kama ilembula, mtwango, igwachanya na kitandililo
1709317693943.jpg
1709114059423.jpg
 
Makambako wamejiongeza daladala zimewekewa miji ya pembe zoni kama njombe ,mtwango ,ilembula ,igwachanya na kitandililo ukija kati ni mwendo wa bajaji za kuzidi uzuri wa makambako tayari makazi yanakamatana na vimiji vya pembeni kama ilembula, mtwango, igwachanya na kitandililoView attachment 2923767View attachment 2923768

Mwanza wameshindwa kuondoa hiace
 
Ukiona coaster mara nying safari inakuwa ndefu
 
Km ni 26 to 35 nakadiria na nauli ni elf 1. Bajaji kuna mahala zinaishia haziendi mbal kulingana na sheria walizoweka(by law). Kwa wanaoijua songea vizuri bajaji zinacheza toka stand ya mjini kwenda stand ya ruhuwiko(mbinga road) au kwenda stand ya seedfarm(namtumbo road) au msamala(njombe road). Nying znaenda ruhuwiko kutokana na ubize wa stand ya mbinga(ruhuwiko stand) bajaj naul ni 500
Wasalimie Utwango karibu na Namabengo..
 
Sasa nikutege kwa faida ya nani au mimi nimeomba hiace kwako? Mm nawapa njia ya kutumia hizo gari.
Huku kuna mtu anaitwa Paswero hiace zake anatumia jina la CNN anajumla ya hiace 36 na mwezi ujao unaongeza 10 tayari zinafanyiwa tu finishing Dar.
Kuna mwingne AGAPE Analeta 5, hivi zingekuwa hazina faida wangeleta kwa wingi huo?
Kama wewe ni agape unayeota kushika njia ya hospital ya peramiho peke yako sawa disheart others ili ufanikiwe.
Na kama wew ni cnn unaeota kuishka mlilayoyo na mtwangimbole peke yako swa wakatixhe wenzako tamaa.
Songea haiko mbali tafuta watu ulizia vizuri. Hata ukiweka gari stand ya mjin kwenda stand ya shule ya tanga ambayo naul mia 7 unapata hela.
Katika hli mim cpat faida wala hasara ukifanya au kuacha
Uko vyema.
Nafikiria sana Songea...Namtumbo....manake kuna vimiji njiani kama Namabengo....Litola...Lumecha..n.k....yaani mpaka Likuyuuu.
 
Sasa nikutege kwa faida ya nani au mimi nimeomba hiace kwako? Mm nawapa njia ya kutumia hizo gari.
Huku kuna mtu anaitwa Paswero hiace zake anatumia jina la CNN anajumla ya hiace 36 na mwezi ujao unaongeza 10 tayari zinafanyiwa tu finishing Dar.
Kuna mwingne AGAPE Analeta 5, hivi zingekuwa hazina faida wangeleta kwa wingi huo?
Kama wewe ni agape unayeota kushika njia ya hospital ya peramiho peke yako sawa disheart others ili ufanikiwe.
Na kama wew ni cnn unaeota kuishka mlilayoyo na mtwangimbole peke yako swa wakatixhe wenzako tamaa.
Songea haiko mbali tafuta watu ulizia vizuri. Hata ukiweka gari stand ya mjin kwenda stand ya shule ya tanga ambayo naul mia 7 unapata hela.
Katika hli mim cpat faida wala hasara ukifanya au kuacha
Uko na roho nzuri sana...Tukiwa watz asilimia 45 kama wewe nchi itasogea sana
 
Makambako wamejiongeza daladala zimewekewa miji ya pembe zoni kama njombe ,mtwango ,ilembula ,igwachanya na kitandililo ukija kati ni mwendo wa bajaji za kuzidi uzuri wa makambako tayari makazi yanakamatana na vimiji vya pembeni kama ilembula, mtwango, igwachanya na kitandililoView attachment 2923767View attachment 2923768
Duh hv ilembula ishaungana na makambako! Basi miji inakuwa kwa kasi
 
Duh hv ilembula ishaungana na makambako! Basi miji inakuwa kwa kasi
YAp yalibaki maeneo kama mwili ambayo yalikuwa wazi now yote wamepima na kuwekeza shule viwanda vya kusindika mazao nk mji unakimbia Ukienda mtwango hapo ni makazi yameshamiri pote toka makambako hadi mtwango ndo maana mkoa wa njombe umeamua lile eneo la makambako liwe la viwanda na biashara
1702914137702.jpg
Ilembula
thumb_584_1130x480_0_0_auto.jpg
 
Back
Top Bottom