Biashara ya Hiace bado inalipa Songea

Biashara ya Hiace bado inalipa Songea

Sasa nikutege kwa faida ya nani au mimi nimeomba hiace kwako? Mm nawapa njia ya kutumia hizo gari.
Huku kuna mtu anaitwa Paswero hiace zake anatumia jina la CNN anajumla ya hiace 36 na mwezi ujao unaongeza 10 tayari zinafanyiwa tu finishing Dar.
Kuna mwingne AGAPE Analeta 5, hivi zingekuwa hazina faida wangeleta kwa wingi huo?
Kama wewe ni agape unayeota kushika njia ya hospital ya peramiho peke yako sawa disheart others ili ufanikiwe.
Na kama wew ni cnn unaeota kuishka mlilayoyo na mtwangimbole peke yako swa wakatixhe wenzako tamaa.
Songea haiko mbali tafuta watu ulizia vizuri. Hata ukiweka gari stand ya mjin kwenda stand ya shule ya tanga ambayo naul mia 7 unapata hela.
Katika hli mim cpat faida wala hasara ukifanya au kuacha
Sample ya wafanyabiashara wawili
Research imekamilika..
Unautangazia umma

Umeshawahi fanya hii biashara?
Usiwaingize wenzio cha kike.
 
Sample ya wafanyabiashara wawili
Research imekamilika..
Unautangazia umma

Umeshawahi fanya hii biashara?
Usiwaingize wenzio cha kike.
Hizo sample nilizotoa ni wale wenye magari mengi na wanaagiza meng kwa wakat mmoja. Huyo cnn ana hiace 36 had sasa na analeta zingine 10 atakuwa na ngapi?
Makampuni yapo mengi tu mfano Nnyari anagari nyingi tu.
 
Mkuu
Achana nae
Watu kama hawa hawakosekani

Songea naijui in and out
Upoo sahihi 100%
Kwani songea iko kuzimu kusema nazungumzia mambo ya kusadikika? Nimeleta uzi huu kwa kuwa najua kuna watu wana hiace ila wamezipaki tu na wanajilaumu pengine kwa kuzinunua. Waende nazo songea tena sio hadi wawasiliane na mimi wao wenyewe wafanye hiyo kazi.
 
Nimekuja Mtwara huku kikazi ,mra ya mwisho nilifika 2019 ila leo hapa Town hamna hiace za ndani ya mitaa zaidi ya bodaboda naona hiace za Mikindani tu ila kipind hicho zilikuwa kila kona kule stend ya zamani😅
 
Nimekuja Mtwara huku kikazi ,mra ya mwisho nilifika 2019 ila leo hapa Town hamna hiace za ndani ya mitaa zaidi ya bodaboda naona hiace za Mikindani tu ila kipind hicho zilikuwa kila kona kule stend ya zamani
 
Peleka hiece tanga city, kule route zote ni hiece na costa hizi ni zile za mjini tu bajaj hawajazielewa kabisa, njoo na bajaj yako uone utakavyokula njaa, kuna mji kama makambako ukipeleka hiece jiandae kuhesabu mabua
 
Peleka hiece tanga city, kule route zote ni hiece na costa hizi ni zile za mjini tu bajaj hawajazielewa kabisa, njoo na bajaj yako uone utakavyokula njaa, kuna mji kama makambako ukipeleka hiece jiandae kuhesabu mabua
.makambako hakuna hiace kwanini?
 
Km ni 26 to 35 nakadiria na nauli ni elf 1. Bajaji kuna mahala zinaishia haziendi mbal kulingana na sheria walizoweka(by law). Kwa wanaoijua songea vizuri bajaji zinacheza toka stand ya mjini kwenda stand ya ruhuwiko(mbinga road) au kwenda stand ya seedfarm(namtumbo road) au msamala(njombe road). Nying znaenda ruhuwiko kutokana na ubize wa stand ya mbinga(ruhuwiko stand) bajaj naul ni 500
Shule ya Tanga stand kuu hazifiki hizo bajaj Hadi mizani???

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
 
nenda mbinga Kule NI bodaboda Tu , bajaji ndo zimeingia kuanzia mwaka Jana na hazizidi 30 , mbinga hakuna Hiece , ukihitaji kukamata kwa biashara ya Hiece walao umwage Hiece 20 kwa mara moja

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom