- Thread starter
- #21
Lakini pia niliambiwa kuna start up companies zinaanza na kufa kabisa, nikaambiwa niangalie stable companies zinazoendelea, kuna kampuni direction yake ni vague hivyo ni ngumu kujua zinakua au zinakufa, sasa wewe unashauri start up.Hisa ni investment sio dairy income Business, muwekezaji Nzuri ni anayewekeza kwa malengo ya 5 years-10 years na zaidi.
Ili ufanikiwe kutengeneza utajiri kwenye Hisa usiwekeze kwenye Giant Company fanya research ya Startup company ambayo kwa prediction itakuja kuwa Giant baadae hizi Startup za nje ya nchi ndio Nzuri zaidi chukua Hisa leo kwenye Startup Hold for 5-10 years ikija kuwa Giant miaka 8 baadae inakuwa na wewe ila ufanye upembuzi yakinifu kupata determined Startup watu wa investment na technology wanaweza kukujuza.
Nilipewa mfano wa hisa za NICOL ya Mzee Mushi, nikaishiwa nguvu.
Wengine wanasema start up campanies ni kichomi, ni ngumu kueleweka. Wakashauri TTC, Breweries na CRDB kuwa hao ni wakongwe, nini sasa cha kufanya.
Nazidi kuchanganyikiwa na hii biashara ya hisa.