SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nataka nijijengee ufahamu wa stock trading kwa kuanza kununua na kuuza stock chache. Nimeshajiunga na online platform ya DSE. Swali langu ni, ukitaka kucash-in (ie. kuuza share unazoshikilia), inabidi usubiri mpaka mnunuzi apatikane au DSE wana system ya kukulipa na kuzichukua shares wenyewe hadi mnunuzi mwingine atakapopatikana?
Nia yangu hasa ni kuweza kuuza haraka mabadiliko madogo ya bei yanapotokea. Nataka nianze na kiasi kidogo hadi nitakapokuwa comfortable ku-gamble zaidi (niko very conservative na hii plan). Najua DSE siyo active kihivyo kulinganisha na masoko mengine ya hisa lakini nikifuatilia naona bei zinapanda na kushuka ingawa ni kwa rates ndogo.
Msaada wowote unapokelewa.