Biashara ya hisa za muda mfupi (Short-term stock trading) katika DSE

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Nataka nijijengee ufahamu wa stock trading kwa kuanza kununua na kuuza stock chache. Nimeshajiunga na online platform ya DSE. Swali langu ni, ukitaka kucash-in (ie. kuuza share unazoshikilia), inabidi usubiri mpaka mnunuzi apatikane au DSE wana system ya kukulipa na kuzichukua shares wenyewe hadi mnunuzi mwingine atakapopatikana?

Nia yangu hasa ni kuweza kuuza haraka mabadiliko madogo ya bei yanapotokea. Nataka nianze na kiasi kidogo hadi nitakapokuwa comfortable ku-gamble zaidi (niko very conservative na hii plan). Najua DSE siyo active kihivyo kulinganisha na masoko mengine ya hisa lakini nikifuatilia naona bei zinapanda na kushuka ingawa ni kwa rates ndogo.

Msaada wowote unapokelewa.
 
Sidhani kama DSE wana online platform ya kuuza na kununua hisa.

Kama ipo haitakuwa efficient kwa jinsi unavyotaka ifanye kazi.

Nakushauri, njia nzuri na rahisi ni kuonana na Broker hapo DSE aweze kukusaidia kwa ukaribu.

Zaidi ya hayo, unatakiwa ujifunze kwa kina kuhusu maswala ya hisa, ili ujue maamuzi utakayofanya yana malengo gani na yatakusaidia vipi.
 
Labda anamaanisha ile mobile platform iloanzishwa hiv karibuni... Dse bado hawana online platform ila nafikiri wako mbioni wameijaribu kwny shndano la DSE scholar investment challenge mwaka huu
 
Makosa yangu, nilikuwa namaanisha mobile platform. Nimewapigia simu, nimeambiwa hata kwenye mobile platform inabidi kuunganishwa na broker.

Itabidi niwasiliane na broker mmoja kuona kama ninachojaribu kufanya ni practical. Sioni sababu kwa nini isiwezekane kwa sababu short term trading inafanyika sana kwenye masoko makubwa ya hisa. Labda tu waone nawapotezea muda (nataka kuanza kwa kuzungusha around 200,000/= kwenye phase ya kwanza). I'm just trying to get my feet wet.

Vilevile wameniambia data inayokuwa posted kwenye website ya DSE iko delayed kwa kama dakika 5 (sina uhakika hiyo ina ukweli kiasi gani kwa sababu makampuni na mashirika mengi TZ bado hayathamini internet). Ili kupata data in real time kwa computer unabidi usajiliwe.
 
Nataka nijijengee ufahamu wa stock trading kwa kuanza kununua na kuuza stock chache. Nimeshajiunga na online platform ya DSE. Swali langu ni, ukitaka kucash-in (ie. kuuza share unazoshikilia), inabidi usubiri mpaka mnunuzi apatikane au DSE wana system ya kukulipa na kuzichukua shares wenyewe hadi mnunuzi mwingine atakapopatikana?

Nia yangu hasa ni kuweza kuuza haraka mabadiliko madogo ya bei yanapotokea. Nataka nianze na kiasi kidogo hadi nitakapokuwa comfortable ku-gamble zaidi (niko very conservative na hii plan). Najua DSE siyo active kihivyo kulinganisha na masoko mengine ya hisa lakini nikifuatilia naona bei zinapanda na kushuka ingawa ni kwa rates ndogo.

Msaada wowote unapokelewa.

Laizma apatikane anayetaka kununua, utataka uuze kwa bei ipi? utakuwa tayari kushusha bei hadi ya kutupa ili mradi uiuze?

Pia kumbuka broker anapouza/nunua kwa niaba yako anakula commision, pia kunaweza kukawa na kodi kila unapouza so hii idea yako sana sana utagawa hela zako zote in fees and taxes.

Sidhani kama soko la DSE linafaa kwa day trading, stock chache sana na wanunuzi wauzaji wachache sana.
Kumbuka kuwa active traders hata masoko yaliyoendelea on average wanashindwa kubeat the market, you do better if you buy and hold kwenye fund.
 
Yes, nilikuwa na wasiwasi na gharama za kodi na broker commission (ndiyo maana nilikuwa naangalia uwezekano wa kutrade mwenyewe moja kwa moja). Plus, nataka niwe mwenyewe kwenye battle field! Kuhusu kuuza kwa bei ya kutupa, hapana, afadhali nishikirie hizo stock (unless kampuni/uchumi uko kwenye crisis). Nataka tu small margins wakati najijengea ufahamu zaidi, lakini kama unavyosema broker fees na kodi ni masuala ya kuangalia.

Kingine kikubwa ni hilo la kwamba hauwezi kuuza mpaka apatikane mnunuzi, that's a deal breaker to me. Kwa soko dogo kama la DSE, nadhani hiyo inaweza kuchukua miezi!! Nitawasiliana nao J3 kupata ufafanuzi.
 
DSE kwa short term trading bado. Wengi wananunua na ku hold. Kuuza ni process ya muda labda kwa shares hot cake kama tcc na tbl. Kununua ndio taabu zaidi, inabidi udeposit kwa broker anunue kadri zinavyopatikana.
 
Yes, nilikuwa na wasiwasi na gharama za kodi na broker commission (ndiyo maana nilikuwa naangalia uwezekano wa kutrade mwenyewe moja kwa moja). Plus, nataka niwe mwenyewe kwenye battle field! Kuhusu kuuza kwa bei ya kutupa, hapana, afadhali nishikirie hizo stock (unless kampuni/uchumi uko kwenye crisis). Nataka tu small margins wakati najijengea ufahamu zaidi, lakini kama unavyosema broker fees na kodi ni masuala ya kuangalia.

Kingine kikubwa ni hilo la kwamba hauwezi kuuza mpaka apatikane mnunuzi, that's a deal breaker to me. Kwa soko dogo kama la DSE, nadhani hiyo inaweza kuchukua miezi!! Nitawasiliana nao J3 kupata ufafanuzi.

DSE itakuvunja moyo kama unataka kufanya kama unavyosema.
DSE haijachangamka kama masoko ya Nairobi na J'burg.
Unaweza kutafuta trustworth brokers toka platforms za nje ya Tanzania au Africa ukafanya online trading.
Na uzuri zaidi unakuwa na products nyingi unazoweza kutrade nazo kuanzia Stocks, Currencies, ETF's, Commodities, Options and Futures.
Hapa ndio unaweza kufanya kile unachotaka kufanya kwasababu ni active markets.
 
Nashukuru saana kwa ushauri wenu. Bavaria, hilo la kutrade kwenye international markets nalo nimelifikiria sana (tunaongelea karibu miaka 15) hasa kwa kuwa nimekuwa na interest pia na online forex trading (interesting kwamba umegusia hilo). Niko tayari aisee!
 
Naweza kupata somo la kutosha juu ya hii biashara inavyokuwa?
 
I have 20,000 kwenye stocks. I trade with scottrade. Ask me anything you like to know about
 
scottrade is the online broker.you can buy and sell just about anything you have from shares,indexes,etc.
The trades usually are executed with a flat fee of 7 dollars per trade,whether you sell or buy.

visit www.scottrade.com for more info.However, you are required to have some sort of US goverments identifications such as social security,and others.Just visit the website for more info.

now,there are many online brokers you can find on the market.They have different incentives and services that depend on your style of trading,needs and approach.

Buying and selling is whole another big subject that needs time to find out .

The best sites i know, to learn how to trade is investopedia,market place and others.

my approach is a long term trader.I dont short stocks,neither swing.But am flexible in all tasks.
 
Uliwezaje kufungua account scottrade? Nilijaribu nikaambiwa ni lazima niwe US citizen. Na hawazingui kwenye withdraws? Spread zao zipoje? Pips zimekaaje? Wana product gani? Leverage yao ni ngapi?
 
I have 20,000 kwenye stocks. I trade with scottrade. Ask me anything you like to know about

Uliwezaje kufungua account scottrade? Nilijaribu nikaambiwa ni lazima niwe US citizen. Na hawazingui kwenye withdraws? Spread zao zipoje? Pips zimekaaje? Wana product gani? Leverage yao ni ngapi?.
 
Nashukuru saana kwa ushauri wenu. Bavaria, hilo la kutrade kwenye international markets nalo nimelifikiria sana (tunaongelea karibu miaka 15) hasa kwa kuwa nimekuwa na interest pia na online forex trading (interesting kwamba umegusia hilo). Niko tayari aisee!

Kwanza unahitaji ujifunze kiundani kuhusu maswala ya online trading. Ujue basics za currency trading, options, futures, stocks, ETF's.
Angalia demo za online trading. Ukishaiva basi anza na demo account kupitia broker mmoja unayemuamini.
 
scottrade is the online broker.you can buy and sell just about anything you have from shares,indexes,etc.
The trades usually are executed with a flat fee of 7 dollars per trade,whether you sell or buy.

visit www.scottrade.com for more info.However, you are required to have some sort of US goverments identifications such as social security,and others.Just visit the website for more info.

now,there are many online brokers you can find on the market.They have different incentives and services that depend on your style of trading,needs and approach.

Buying and selling is whole another big subject that needs time to find out .

The best sites i know, to learn how to trade is investopedia,market place and others.

my approach is a long term trader.I dont short stocks,neither swing.But am flexible in all tasks.

Nataka kuwa na account Scottrade au MB Trading kwasababu zinagusa moja kwa moja US Financial system. Na sina any document ya kunionesha kama mimi ni US citizen.
 
Back
Top Bottom