Biashara ya hisa za muda mfupi (Short-term stock trading) katika DSE

Biashara ya hisa za muda mfupi (Short-term stock trading) katika DSE

Uliwezaje kufungua account scottrade? Nilijaribu nikaambiwa ni lazima niwe US citizen. Na hawazingui kwenye withdraws? Spread zao zipoje? Pips zimekaaje? Wana product gani? Leverage yao ni ngapi?.
Wale brokers wa US wana restrictions kibao na inakuwa ngumu kukubali non residents waopen account mkuu aminiusiamini ungetueleza vizuri umewezaje? utakua umesaidia sana
 
Last edited by a moderator:
Nataka kuwa na account Scottrade au MB Trading kwasababu zinagusa moja kwa moja US Financial system. Na sina any document ya kunionesha kama mimi ni US citizen.

mwanangu,kama huna social security au workers employer id itakuwa ngumu kumesa.Mimi nilipata hizi long time wakati niko mwanafunzi nchini marekani pale maryland.sijui ni jinsi gani ya kukusaidia hapo.

vipi kuhusu hisa za nairobi na africa kusini maana huko ndio kuna makampuni na serikali zinazojali biashara huria nk....mimi napenda kujua kuhusu soko la nairobi na africa kusini kama unajua jinsi ya kujoin.
 
Wasiliana na brokers wa hayo masoko ili wakupe utaratibu wa kumiliki hisa huko.
Sijawahi kujaribu kumiliki hisa huko.
 
Back
Top Bottom