heavyload JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 920 Reaction score 526 Jan 27, 2017 #1 Wakuu naomba kwa anayefahamu vizuri juu ya biashara ya hisa anijuze juu ya faida na hasara zake na jinsi ya kununua na kuuza.NB je makampuni ya cm nayo yamekwisha orodheshwa kwenye soko la hisa la Dar?
Wakuu naomba kwa anayefahamu vizuri juu ya biashara ya hisa anijuze juu ya faida na hasara zake na jinsi ya kununua na kuuza.NB je makampuni ya cm nayo yamekwisha orodheshwa kwenye soko la hisa la Dar?
ynnobygger JF-Expert Member Joined Dec 19, 2015 Posts 213 Reaction score 200 Jan 27, 2017 #2 Mmmh mwenyewe nangoja majibu kwa hamu