Biashara ya hoteli (mgahawa)

Biashara ya hoteli (mgahawa)

Joined
Dec 18, 2017
Posts
5
Reaction score
1
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudia wateja ukifika mda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao
 
Hata hujaeleweka!!tatizo ni nini?pesa hazitimii kulingana na mauzo husika?, wanakimbia na pesa?pesa zinazidi kulinganisha na mauzo?!!tatizo ni nini?
 
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudia wateja ukifika mda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao
Sasa si uweke msimamizi wa kurekodi kila aina ya huduma inayo tolewa, na pia kupokea malipo yake! Wenzako wote wanafanya hivyo!! Wewe unatumia njia gani?
 
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudia wateja ukifika mda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao
Njia mojawapo ni wewe kuwepo eneo la kazi. Kamwe hakuna atakaekusimamia kazi yako ukafaidi kwa 100%. Kisha fahamu kila bidhaa inazaa kiasi gani. Yani ukikurupuka usingizini uwe unafahamu mkungu wa wastani una ndizi ngapi, zinatoa sahani ngapi. Hivyohivyo kwenye unga n.k. Halafu kuwa chashier (mpokea fedha) wewe mwenyewe kwa muda mrefu. Cheza na daftari kwa kila sahani itakayotoka unarekodi. Ushawahi kuona Wahindi wanatoka pale pa kupokelea pesa?

Utakiona kibabu kimiliki kinaita tu, Jumaaaa! Chai moja, andazi mbili.!

Ukiwaona vile usidhani wajinga. Wabongo wengi hatuwezi kukomaa hivi
 
Back
Top Bottom