Biashara ya huduma ya internet cafe

pangakali 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
239
Reaction score
221
Wakuu mwenye mawazo jengefu ya namna ya kufungua ofisi ya kutoa huduma za internet na photocopy, eneo la DSM.
1. Naomba kujua ni vifaa gani ninapaswa kua navyo?
2. Changamoto za biashara hio
3. Mkadirio wa Mtaji kwa biashara kiwango cha Kati. Na mengineyo nisio yafaham.
Asanteni Sana.
 
Hii Biashara ni Nzuri bt inategemea mazingira. Mambo ya Simu za Internet na Compyuta binafsi vimeua hii biashara.

Kama Unataka kudanya hii Bisiness, Malengo Yarlekeze zaidi kwenye Stationery. Ila kama unataka kuifanya Nenda kwenye Wilaya zinazochipukia utapiga hela sana.

Bei ya Compyuta unaweza pata kwa Laki 3. Ni desktop nzuri tuu.
 
Shukran kwa mawazo. Vifaa vingine mbali na computer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…