TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.
Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo