Biashara ya jezi za Simba kwa msimu huu huwenda zikakwama kwenye marketing

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.

Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy

Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
 
Poa, tusiende kishabiki.

Hebu leta Statistics za mauzo ya Jersey zenye namba na jina la Louis zilizouzwa katika mwaka uliopita.

Kama utashindwa basi tulia huko, mashabiki wa Simba hawanunui jezi za Mchezaji bali za klabu yao. Na nina uhakika zitanunuliwa nyingi zaidi kulinganisha na misimu yote ya nyuma.
 
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu....

Kuondoka kwa Chama Luis...Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy

Sasa Kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo

Si utulie usubiri,haraka ya nini wewe Utopolo? Kati yako wewe na Fred nani anaijua vizuri biashara? Uto sikiliza,Fred kasema hivi wakati wanazindua hapa ile saa moja,Jezi zitakuwa tayari zinapatikana Mikoa yote tena zitauzwa 24 hrs,hiyo ni akili peke yake inafanywa na anaeijua biashara kama vile Apple wanavyozindua version mpya ya simu na zinakuwa tayari ziko kwa major stores zao kote Ulimwenguni.Ukae kwa kutulia hivyo hivyo Dear Utopolo.
 
Poa, tusiende kishabiki.

Hebu leta Statistics za mauzo ya Jersey zenye namba na jina la Louis zilizouzwa katika mwaka uliopita.

Kama utashindwa basi tulia huko, mashabiki wa Simba hawanunui jezi za Mchezaji bali za klabu yao. Na nina uhakika zitanunuliwa nyingi zaidi kulinganisha na misimu yote ya nyuma.

Yani wamepagawa,wasivyo na akili wamekwenda mbali hadi wameprint jersey zao na kusema ni za Simba! Hawa Utopolo ngoja kwanza Rivers wawabutue akili zao ziwakae sawa
 
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu....

Kuondoka kwa Chama Luis...Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy

Sasa Kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Yaani unatakiwa unafanya research kidogo kabla ujaandika. Au umeandika kishabiki. Nimependa andiko lako ila limejaa hisia badala ya utafiti. Mi kwa utafiti kidogo tu mashabiki wa simba wamewapoteza Luis na Chama lakini bado hawajapoteza hamasa kwa timu yao. Hivyo biashara itaenda vizuri.
 
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu....
Kuondoka kwa Chama Luis...Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa Kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Mbona umeiweka kama tetesi sasa wakati ni maono yako tu?!
 
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu....

Kuondoka kwa Chama Luis...Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy

Sasa Kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Nenda kwenye maduka ya vunja bei uone balaa, acha blaablaa za vijiweni.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] umeona Sasa jesy Kwanza imevuja then leo wakaona waiweke public
Dogo kashenza kupata mchecheto Sasa anaharaka yakurudisha japo nusu hasara
Sijajua hasara kwa namna gani, kwamba wapo watu wataahirisha kununua kwa kuwa zimeonekana mapema kabla ya uzinduzi? Watu wa business nisaidieni mimi sijayapitia mambo hayo
 
Kwasisi wazee wa business Kuna issue ya timing

Ndo maana unaona jezi ilitakiwa leo ziwe official lakini wakaona leo kabla ya siku husika waanze kuziuza
Sasa kesho watazindua nini Tena?
 
Okay, na impact ya kukosa kitu cha kuzindua, ipoje kwenye mauzo, iwapo watu wameshaanza kununua?
soma hapo jezi ikivuja nihasara kwa Fred bro
Screenshot_20210903-135809-01.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210903-135809.jpg
    Screenshot_20210903-135809.jpg
    44.3 KB · Views: 2
Na hivyo kuna vi jezi vya sie kina sista duuu mbona hapatatoshaaa. Simba nguvu mojaaa
 
Back
Top Bottom