Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu....
Kuondoka kwa Chama Luis...Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa Kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Poa, tusiende kishabiki.
Hebu leta Statistics za mauzo ya Jersey zenye namba na jina la Louis zilizouzwa katika mwaka uliopita.
Kama utashindwa basi tulia huko, mashabiki wa Simba hawanunui jezi za Mchezaji bali za klabu yao. Na nina uhakika zitanunuliwa nyingi zaidi kulinganisha na misimu yote ya nyuma.
Yaani unatakiwa unafanya research kidogo kabla ujaandika. Au umeandika kishabiki. Nimependa andiko lako ila limejaa hisia badala ya utafiti. Mi kwa utafiti kidogo tu mashabiki wa simba wamewapoteza Luis na Chama lakini bado hawajapoteza hamasa kwa timu yao. Hivyo biashara itaenda vizuri.Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu....
Kuondoka kwa Chama Luis...Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa Kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Mbona umeiweka kama tetesi sasa wakati ni maono yako tu?!Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu....
Kuondoka kwa Chama Luis...Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa Kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Nenda kwenye maduka ya vunja bei uone balaa, acha blaablaa za vijiweni.Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu....
Kuondoka kwa Chama Luis...Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa Kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Sijajua hasara kwa namna gani, kwamba wapo watu wataahirisha kununua kwa kuwa zimeonekana mapema kabla ya uzinduzi? Watu wa business nisaidieni mimi sijayapitia mambo hayo[emoji16][emoji16][emoji16] umeona Sasa jesy Kwanza imevuja then leo wakaona waiweke public
Dogo kashenza kupata mchecheto Sasa anaharaka yakurudisha japo nusu hasara
Kwasisi wazee wa business Kuna issue ya timingSijajua hasara kwa namna gani, kwamba wapo watu wataahirisha kununua kwa kuwa zimeonekana mapema kabla ya uzinduzi? Watu wa business nisaidieni mimi sijayapitia mambo hayo
Okay, na impact ya kukosa kitu cha kuzindua, ipoje kwenye mauzo, iwapo watu wameshaanza kununua?Kwasisi wazee wa business Kuna issue ya timing
Ndo maana unaona jezi ilitakiwa leo ziwe official lakini wakaona leo kabla ya siku husika waanze kuziuza
Sasa kesho watazindua nini Tena?
Kwani zikivuja hazivaliki??? Hebu wakitulize. Yanavuja matokeo ya kura itakua jezisoma hapo jezi ikivuja nihasara kwa Fred bro View attachment 1922236