daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Tusubiriumeona Sasa jesy Kwanza imevuja then leo wakaona waiweke public
Dogo kashenza kupata mchecheto Sasa anaharaka yakurudisha japo nusu hasara
Mbona mnahasira
Simba ni wa kuhurumiwa tuFact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.
Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
35,000X42,000 =Mwendo wa kichapo tu
Simba juu zaidi tumeuza jersey elfu 42 ndani ya masaa 8
Mna wivuuuMbona mnahasira
Huyo ni MO aliyejifi ha kwenye makwapa ya vunja bei.Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.
Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Nonsense.Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.
Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Tatizo la kuamini manara ndiye anayeweza..Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.
Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Hasara kama utachelewa kuzitoa, hii ya simba haijawa na madhara sababu baada ya kuvuja tu wakaachia mzigo hivyo mzigo genuine ndio umeingia sokoni...ma wakati 'wachina' wanapambana kutengeneza za kufyatua mzigo mkubwa ushaingia sokoni...soma hapo jezi ikivuja nihasara kwa Fred bro View attachment 1922236
Naomba arudi tena leo kuleta mrejeshoHuyu jamaa mtoa uzi anajifanya mtabiri au uchawi tu
Aibu yako aibu ya Utopolo woooteFact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.
Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.
Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy
Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Tatizo la kuamini manara ndiye anayeweza..
Vipi mkuu umesikilizia mzigo wa mnyama?
Ungefanya hata hesabu ndogo tu ya kuzidisha, then ungeona ni namna gani ulivyoaandika utopolo!
Zikiuzwa jersey 80,000 tu kwa msimu mmoja pesa yote 2b inarudi!
Hebu chukulia bei ya ni 25,000/= kutoka kwenye kiwanda huko zilipotengenezwa!
Then fanya 25,000x80,000=2,000,000,000
Hapo ni ndani ya msimu mmoja tu, but jersey ukiacha za watoto bei ni zaidi ya 25k na tayari hadi kufikia hivi sasa zaidi 50k jersey zimeshauzwa acha vikorombweze vingine, kofia na jersey za watoto! Kwenye CAF bado jersey zitauzika tena ukiachilia mbali msimu ujao bado ataendelea na atafanya balaa sana!
Matarajio ya wengi wanadhani Fred atapata hasara kwa hiyo 2b anayotoa kwa miaka miwili lakini kiuhalisia jamaa aliona mbali na hesabu tayari alikwisha zifanya akaona return kwake si chini ya 6b kwa hiyo miaka miwili!
Jamaa anadhani jezi zinazouzwa zina majina ya wachezaji.Mkuu, toka lini jezi zenye majina zinauzwa bongo?
Bongo jezi nyingi ni plain. Wanasimba wananua jezi kutokana na mapenzi yao kwa team,
Mkuu sioni kama itapungua..sana sana Simba tunaweza kujilaumu pesa tuliyoweka ni ndogo.Kwa mwitikio huu,mwaka kesho akiwa anamalizia mkataba huu wa sasa,atapambana zaidi wamuongezee mkataba.Freddy ile bn 2 anairudisha yote msimu huu au kama itapungua ni kidogo sana.Next Season anatengeneza faida tu kuanzia kuuza jezi ya kwanza.
Nimemsikia kwa Kitenge TV anasema bado kuna mzigo mwingine unakuja wa Hoods na masweta,nguo za vijana za hata mtu anaweza vaa na akaenda Club.Vyote hivi atatengeneza pesa.Sitoshangaa GSM atakimbilia na yeye China akatengeneze japo kofia