Biashara ya jezi za Simba kwa msimu huu huwenda zikakwama kwenye marketing

emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
umeona Sasa jesy Kwanza imevuja then leo wakaona waiweke public

Dogo kashenza kupata mchecheto Sasa anaharaka yakurudisha japo nusu hasara
Tusubiri

IMG_20210903_184027.jpg
 
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.

Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy

Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Simba ni wa kuhurumiwa tu
 
Huyo ni MO aliyejifi ha kwenye makwapa ya vunja bei.
 
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.

Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy

Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Nonsense.
 
Tatizo la kuamini manara ndiye anayeweza..
Vipi mkuu umesikilizia mzigo wa mnyama?
 
soma hapo jezi ikivuja nihasara kwa Fred bro View attachment 1922236
Hasara kama utachelewa kuzitoa, hii ya simba haijawa na madhara sababu baada ya kuvuja tu wakaachia mzigo hivyo mzigo genuine ndio umeingia sokoni...ma wakati 'wachina' wanapambana kutengeneza za kufyatua mzigo mkubwa ushaingia sokoni...
 
Fact hi naomba usiichukulie kishabiki naiweka hapa kibiashara kijana mwezetu Fred Vunja bei Ameweka 2 bilion kwa Club ya Simba ili aweze kutengeneza jesy auzee this is Good idea...ila kumetokea fell timing kwenye club baada ya wachezaji nyota kuondoka kwenye timu.

Kuondoka kwa Chama na Luis. Ni pigo kubwa kwenye biashara ya jesy usishangaee safarii mashabiki na wapenzi wa Simba wakikosa hamasa kwenye mapokeo ya jesy

Sasa kama alichukua mkopo bank ajiandae mapema kufunga maduka yake ili kulipa huu mkopo
Aibu yako aibu ya Utopolo wooote
 
Ungefanya hata hesabu ndogo tu ya kuzidisha, then ungeona ni namna gani ulivyoaandika utopolo!
Zikiuzwa jersey 80,000 tu kwa msimu mmoja pesa yote 2b inarudi!
Hebu chukulia bei ya ni 25,000/= kutoka kwenye kiwanda huko zilipotengenezwa!
Then fanya 25,000x80,000=2,000,000,000
Hapo ni ndani ya msimu mmoja tu, but jersey ukiacha za watoto bei ni zaidi ya 25k na tayari hadi kufikia hivi sasa zaidi 50k jersey zimeshauzwa acha vikorombweze vingine, kofia na jersey za watoto! Kwenye CAF bado jersey zitauzika tena ukiachilia mbali msimu ujao bado ataendelea na atafanya balaa sana!
Matarajio ya wengi wanadhani Fred atapata hasara kwa hiyo 2b anayotoa kwa miaka miwili lakini kiuhalisia jamaa aliona mbali na hesabu tayari alikwisha zifanya akaona return kwake si chini ya 6b kwa hiyo miaka miwili!
 
Tatizo la kuamini manara ndiye anayeweza..
Vipi mkuu umesikilizia mzigo wa mnyama?

Sasa hivi wimbo wa kuvuja wameuacha,wakitaka kukosoa jezi wanashindwa wamebaki hapo kati kati[emoji3][emoji3]
 
Mleta uzi vipi unaendeleaje huko?
 
Ungefanya hata hesabu ndogo tu ya kuzidisha, then ungeona ni namna gani ulivyoaandika utopolo!
Zikiuzwa jersey 80,000 tu kwa msimu mmoja pesa yote 2b inarudi!
Hebu chukulia bei ya ni 25,000/= kutoka kwenye kiwanda huko zilipotengenezwa!
Then fanya 25,000x80,000=2,000,000,000
Hapo ni ndani ya msimu mmoja tu, but jersey ukiacha za watoto bei ni zaidi ya 25k na tayari hadi kufikia hivi sasa zaidi 50k jersey zimeshauzwa acha vikorombweze vingine, kofia na jersey za watoto! Kwenye CAF bado jersey zitauzika tena ukiachilia mbali msimu ujao bado ataendelea na atafanya balaa sana!
Matarajio ya wengi wanadhani Fred atapata hasara kwa hiyo 2b anayotoa kwa miaka miwili lakini kiuhalisia jamaa aliona mbali na hesabu tayari alikwisha zifanya akaona return kwake si chini ya 6b kwa hiyo miaka miwili!

Kwa mwitikio huu,mwaka kesho akiwa anamalizia mkataba huu wa sasa,atapambana zaidi wamuongezee mkataba.Freddy ile bn 2 anairudisha yote msimu huu au kama itapungua ni kidogo sana.Next Season anatengeneza faida tu kuanzia kuuza jezi ya kwanza.

Nimemsikia kwa Kitenge TV anasema bado kuna mzigo mwingine unakuja wa Hoods na masweta,nguo za vijana za hata mtu anaweza vaa na akaenda Club.Vyote hivi atatengeneza pesa.Sitoshangaa GSM atakimbilia na yeye China akatengeneze japo kofia
 
Mkuu, toka lini jezi zenye majina zinauzwa bongo?
Bongo jezi nyingi ni plain. Wanasimba wananua jezi kutokana na mapenzi yao kwa team,
Jamaa anadhani jezi zinazouzwa zina majina ya wachezaji.

Nadhani hajawahi kununua jezi za timu za bongo.
 
Kwa mwitikio huu,mwaka kesho akiwa anamalizia mkataba huu wa sasa,atapambana zaidi wamuongezee mkataba.Freddy ile bn 2 anairudisha yote msimu huu au kama itapungua ni kidogo sana.Next Season anatengeneza faida tu kuanzia kuuza jezi ya kwanza.

Nimemsikia kwa Kitenge TV anasema bado kuna mzigo mwingine unakuja wa Hoods na masweta,nguo za vijana za hata mtu anaweza vaa na akaenda Club.Vyote hivi atatengeneza pesa.Sitoshangaa GSM atakimbilia na yeye China akatengeneze japo kofia
Mkuu sioni kama itapungua..sana sana Simba tunaweza kujilaumu pesa tuliyoweka ni ndogo.
 
Back
Top Bottom