Inalipa ukipata sehemu nzuri na kama Bar yenyewe ni nzuri. Wakati mwingine Umaarufu wa Bar unategemea jiko lake yaani aina na ubora wa vyakula vinavyoandaliwa jikoni. Hivyo wewe unaweza kuifanya sehemu hiyo (BAR) kuwa nzuri.
Kama utahitaji mtu wa kukuletea nyama, kuku n.k unaweza kuni PM tufanye biashara. Nina Butcher nzuri sehemu mbalimbali na ninasupply sehemu mbalimbali. Hivyo unaweza kuni PM kwa maelezo zaidi.
Jibu : INALIPA