Biashara ya jiko katika baa inalipa?

Biashara ya jiko katika baa inalipa?

Kativo

Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
55
Reaction score
15
Jamani Wana JF, hebu nisaidieni nina kamtaji kangu kadogo nataka niwekeze katka maeneo hayo. Wenye uzoefu nisaidieni nifanyeje? Nataka niweke chips/mayai, mishkaki, kuku, kongoro, nyama choma.
 
Jamani Wana JF, hebu nisaidieni nina kamtaji kangu kadogo nataka niwekeze katka maeneo hayo. Wenye uzoefu nisaidieni nifanyeje? Nataka niweke chips/mayai, mishkaki, kuku, kongoro, nyama choma.

mkoa gani mkuu?
 
Ni hapa Dar na nimeshapata hako kajiko tayari
 
Ni hapa Dar na nimeshapata hako kajiko tayari

Inalipa ukipata sehemu nzuri na kama Bar yenyewe ni nzuri. Wakati mwingine Umaarufu wa Bar unategemea jiko lake yaani aina na ubora wa vyakula vinavyoandaliwa jikoni. Hivyo wewe unaweza kuifanya sehemu hiyo (BAR) kuwa nzuri.
Kama utahitaji mtu wa kukuletea nyama, kuku n.k unaweza kuni PM tufanye biashara. Nina Butcher nzuri sehemu mbalimbali na ninasupply sehemu mbalimbali. Hivyo unaweza kuni PM kwa maelezo zaidi.
Jibu : INALIPA
 
Jamani nahitaji kujua mchakato wa biashara yake kwa undani kwa sababu naiwaza kwa muda mrefu sasa,inafanyikaje,mtaji wake,faida inavyopatikana n.k
 
Back
Top Bottom