Biashara ya jiko la baa

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
3,805
Reaction score
4,107
Jaman naomba mnisaidie hivi biashara ya baa inafanyikajee.g mtaji wake,kuliteka soko,faida inapatikana vipi,na chochote nnachoweza kufanya niweze kuliteka soko.Nimesikia hii biashara inalipa sana.
 
Watakua wamensaidia pia maana nataka nianze huu mchakato,mmmh ila haka ka timu kanaikimbza man u.
 
mkuu jaribu kuulizia maeneo ya baa itakusaidia kwa urahisi zaidi kama sikosei ni 5000 au 10000 per day..
 
Jaman naomba mnisaidie hivi biashara ya baa inafanyikajee.g mtaji wake,kuliteka soko,faida inapatikana vipi,na chochote nnachoweza kufanya niweze kuliteka soko.Nimesikia hii biashara inalipa sana.

Inategemea na chaneli bar ilipo
 
Bado hamjani elewesha vizuri
 
Kama ni mwenyeji wa Moshi au sio naomba ufike pale UHURU Hostel............aise wan jiko la mfano kwa hii biashara na ninao mpango wa kuwasaka wabunifu hwa wanijengee nami sehemu 3 tofauti hapa nchini............nakushauri nawe ufike pale.............hii kitu inalipa hakuna binadamua asiyeheitaji chakula.........na wengi wetu afrika nyama ni sehemu ya mlo wetu wa kila siku!
 

mkuu, pale uhuru hostel wameiga design ya Carnivore Nairobi, ni bomba sana
 
title na context zimenichanganya. Kwa bar ukitaka ilipe kwanza location na mazingira mazuri, usalama kwa mteja, huduma ya chakula na quality ya chakula + wahudumu. Anyway sorry kama nitakukwaza lkn ndio ukweli wenyewe .. tafuta wahudumu wa kike wenye maumbile mazuri manene ili kuwavuta wateja na pia ili ilipe zaidi weka vyumba vitatu vya kupumzikia bei ni kwa saa, kwa huduma ya vyumba itakupa zaidi ya 30,000/= per day
 
mkuu, pale uhuru hostel wameiga design ya Carnivore Nairobi, ni bomba sana

aisee tufanyeni mpango wa kuipata ile technical design yake ama drawings..............kitu iko makini sana ile!
 

mkuu mimi niko arusha kuna baa zinauza sana na sijaona vyumba vya aina hiyo, kwanza utakuwa ni kupunguza hadhi ya biashara yako kwa kuanza kuingiza na mambo ya danguro kwenye baa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…