Biashara ya kambakochi, China

Maeneo ya Delta ya Rufiji..kwenye visiwa vile cha Kiasi,Kiechuru,Jaja,Pombwe..pitia njia ya Nyamisati ( bandari ya kwenda Mafia)




Mkuu nakushukuru sana nitafanyia kazi hii mambo nkutokujua tu...nilihanagika sana
 
kambakoch aliye hai ndio anapendwa sana china. unahitaji uwe na mitambo mizuri ya kuwaanda kable ya kuwasafirisha, pili inabidi uwe na vibali vyote vya kusafirisha na uwe makini kwenye kuchagua shirika la ndege la kuwasafirisha maana wakikaa sana wakapata joto wanaanza kufa. kwa upande wa bei kwa mara ya mwisho mwaka 2012 ilikuwa inafika CIF shanghai around 35$/kg. ugumu unakuja ni kwenye uhakika waa kuwapata. unaweza kukubaliana na wavuvi wakasema watakuwa wanakupa mzigo wa kutosha ila ukishaanza biashara wanaanza kiswahili. kila laheri
 

Asante sana ndugu kwa taarifa nzuri inaonekana ni mtu ambaye umewahi kuifanya hii biashara ya kambakoche!!! Vip kuhusu bei ya walio kufa(frozen) bei yao iko vipi china!!? Vipi kuhusu crabs(kaa) unauzoefu nao!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…