masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
we binti WA kimasai umeyajulia wapi Hya maana kutwa kuhamahama na ng'ombe
hHAHAHAHH MKUUU NIKO VIZURI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we binti WA kimasai umeyajulia wapi Hya maana kutwa kuhamahama na ng'ombe
woga wako ndio umaskini wako.
Maeneo ya Delta ya Rufiji..kwenye visiwa vile cha Kiasi,Kiechuru,Jaja,Pombwe..pitia njia ya Nyamisati ( bandari ya kwenda Mafia)
Mkuu nakushukuru sana nitafanyia kazi hii mambo nkutokujua tu...nilihanagika sana
Karibu sana..utacheki kama ushindwa niambie nitakupata maelekezo zaidi
kambakoch aliye hai ndio anapendwa sana china. unahitaji uwe na mitambo mizuri ya kuwaanda kable ya kuwasafirisha, pili inabidi uwe na vibali vyote vya kusafirisha na uwe makini kwenye kuchagua shirika la ndege la kuwasafirisha maana wakikaa sana wakapata joto wanaanza kufa. kwa upande wa bei kwa mara ya mwisho mwaka 2012 ilikuwa inafika CIF shanghai around 35$/kg. ugumu unakuja ni kwenye uhakika waa kuwapata. unaweza kukubaliana na wavuvi wakasema watakuwa wanakupa mzigo wa kutosha ila ukishaanza biashara wanaanza kiswahili. kila laheri