Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
Sawa mkuuWe Anza tu
Mengine yatafuata
Ongea na wa chips wenzako
Leswni ya biashara bei ganiLocation matters.
Kama uko mjini na wanasumbua sana kata leseni ya biashara basi ila kama hawsumbui we anza tu.
Leswni ya biashara bei gani
Sio sirikali hiiHuwa inategemea ila biashara kama hyo haizidi 70k
location ipo fresh... sawa mkuu asanteLocation matters.
Kama uko mjini na wanasumbua sana kata leseni ya biashara basi ila kama hawsumbui we anza tu.
mafuta ndo yana balaaZingatia tu bei ya mafuta na viazi, mwanzo mzuri katika huwa pagumu
Mkuu tupe mrejeshoHabarini wananzengo
nahitaji kufungua biashara ya kisasa kidogo ya kibanda cha chips
Je ni mambo gani ya kuyazingatia kiserikali(eg TRA, jiji) na kibiashara?
Asanteni.
biashara ni ngumu sana hapo kwenye viazi na mafuta ndio pana balaa na wafanyakazi pia wasumbufu
Location vipi?biashara ni ngumu sana hapo kwenye viazi na mafuta ndio pana balaa na wafanyakazi pia wasumbufu
MbeyaLocation vipi?
Jf imejaa watotoWe Anza tu
Mengine yatafuata
Ongea na wa chips wenzako
Kwa kifupiJf imejaa watoto
aya ModeratorKwa kifupi
Mimi ni baba yako
Yaani mume wa mama yako
Karibu na asante