Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
Habarini wananzengo
Nahitaji kufungua biashara ya kisasa kidogo ya kibanda cha chips
Je ni mambo gani ya kuyazingatia kiserikali(eg TRA, jiji) na kibiashara?
Asanteni.