Nguruwe ni haramu hata kwako mkristo. Shida ni kwamba ukishaikosa neema ya uislamu hutakuja kuona jambo lolote duniani ni haramu linapokuja suala la kutafuta kipato. Mikopo ya (mkombozi) benki (riba), Premier betting (kamari), bar (pombe), kitimoto n.k vyote vinakuwa halali kwako.
Zanzibar Spices mskilize kijana huyu.
kitimoto inalipa sana zanzibar/unguja. na kilo nyingi sana husafirishwa kwa boti kila siku kuingia unguja.
Kuna aina mbili za kuifanya:
- Kuuzia mahoteli ya kitalii:hawa huchukua kilo nyingi sana maana piza nyingi za kitalii huwa zinachanganywa na kitimoto.Hivyo unaweza zungukia kutafuta soko kwenye mahoteli alafu ukawa unawapelekea kwa order. sana hotel za stonetown zile za wageni na za nungwi na kiwengwa.
- Njia ya pili ni ya kuuza kienyeji kama inavyouzwa huku dar kwenye ma bar.Njia hii inabidi usiitangaze ila wawe wanajulishana wenyewe kwa wenyewe pia uwe una jina kidogo mji huo ili wakuogope kidogo,kuna mmama anauza njia ya Bweni mama janet ila yeye ni hakimu hivyo wanajua tu wakimzingua wakifika mahakamani wataozea jela kwa hiyo hiyo ndio kick yake (uhakimu wake).wewe kama pia ni polisi mkubwa au unaweza mvuja mkuu wa kituo kutembelea center yako mara kwa mara nayo ni dili watakuogopa.
NB: Vijana wanaofanyaga uhuni wa kusumbua watu wasiuze bia na kitimoto uswahilini ni vijana tu wa mtaani hivyo lazima wawe wanakuogopa, kama hilo huwezi kuwaogopesha ni bora utafute ufanye kwa muundo wa namba moja niliyoielezea ili mtaji wako usije kufa.
Nguruwe ni haramu hata kwako mkristo. Shida ni kwamba ukishaikosa neema ya uislamu hutakuja kuona jambo lolote duniani ni haramu linapokuja suala la kutafuta kipato. Mikopo ya (mkombozi) benki (riba), Premier betting (kamari), bar (pombe), kitimoto n.k vyote vinakuwa halali kwako.
Hahaha Kioo huyu jamaa anataka kesi.
Jibu fupi tu,,mji huu sio salama kwa Biashara hiyo.Utapotezwa
Labda niliweke hili wazi licha ya kwamba Dini yangu haiuhusu hii kitu ila nimpe muoni mleta uzi.
Sehemw anazouza Nyama hii ni Super markets na nyingi inatoka South Africa ambapo inauzwa kwenye mahoteli makubnwa.
Maana kwa Tanzania hakuna wazalishaji wa Nyama kwa kwiango cha kimataifa na unajua Kitimoto nyama yake inapimwa kwa kiwango cha hali ya juu saana kutoakan na nature ya mnyama mwenyewe kuwa nyemelzi kwa Magonjwa hatari sana ambayo ni rahisi kusambaa kwa Binaadam tofauti na Nyama ya Ng`ombe.
Sasa Hotels kubwa sana zinachukua Super markets,na wengine wanachukau order maalum
Ni sawa na Mauwa ya Rose,mahotel huchukua Order moja kwa moja kutoka Nairobi kisha kupokea Airport karibia kila siku.
Sasa mleta mada kwa style yako ni kwamba usidhubutu kufanya hiyo biashara katika mazingira unayoambiwa.Zanzibar ni zaidi ya unavyoijua wewe.Na Watalii wa Zanzibar wakifika tu wanajua kwamba wapo Zanzibar na sio Arusha au Dar.
So,mfumo wa Utalii upo tofauti sana,kwahiyo usifikirie kwamba utafungua mamalishe uweke kiti moto,hahahah umekwisha.
Utapikwa wewe,
Biashara nzuri nasikia inalipa sana lakini kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan biashara si nzuri sana sijui kwanini.
Nguruwe ni haramu hata kwako mkristo. Shida ni kwamba ukishaikosa neema ya uislamu hutakuja kuona jambo lolote duniani ni haramu linapokuja suala la kutafuta kipato. Mikopo ya (mkombozi) benki (riba), Premier betting (kamari), bar (pombe), kitimoto n.k vyote vinakuwa halali kwako.
Hapa kwenye mkombozi bank umenikuna, je bank ya watu wa Zanzibar najua inatoa mikopo, thamani ya mikopo yao inawezeje kwenda sawa na anguko la shilingi, pamoja na time value for money? inamaana ukikopa milioni unarudisha milioni?au riba imepewa jina jingine tu lakini maana ni ileile?
Ngongo hiyo dhana siyo kweli kabisa, kwa sasa wakati wa Mfungo, Kiti moto inaliwa zaidi, amini usiamini, kilichobadilika ni mtindo tu, kwa mfano
1/Wateja wengi wanakula usiku na wengi wanataka ifungashwe(Packed) wanakwenda kula Home kama daku!!
2/Wateja wanabadilisha mahali pa kuinunua, wengi wanakwenda sehemu tofauti na walizozizoea hususani za mbali.
Kuna research niliwahi kuifanya kwa kuwauliza wauzaji wa hiyo kitu Dar.
Islamic Banking ni shule ambayo watu wanasotea Degree mpaka PhD.
Nikuulize: Katika soko la hisa, huwa wanalipa riba au faida? Malinyingi
Wadau,
Natamani kuanzisha biashara ya Kitimoto mji wa kitalii Zanzibar. Je, walio wazoefu nijuzeni, inalipa?