Biashara ya Kitimoto Unguja/ Zanzibar

Biashara ya Kitimoto Unguja/ Zanzibar

Kafanye kule walipohalalisha na ndoa za jinsia moja
 
Nguruwe ni haramu hata kwako mkristo. Shida ni kwamba ukishaikosa neema ya uislamu hutakuja kuona jambo lolote duniani ni haramu linapokuja suala la kutafuta kipato. Mikopo ya (mkombozi) benki (riba), Premier betting (kamari), bar (pombe), kitimoto n.k vyote vinakuwa halali kwako.

Inashangaza Waislam vitu vizuri kwao haramu vibaya kama Tigo kwao sunna
 
kitimoto inalipa sana zanzibar/unguja. na kilo nyingi sana husafirishwa kwa boti kila siku kuingia unguja.

Kuna aina mbili za kuifanya:

  1. Kuuzia mahoteli ya kitalii:hawa huchukua kilo nyingi sana maana piza nyingi za kitalii huwa zinachanganywa na kitimoto.Hivyo unaweza zungukia kutafuta soko kwenye mahoteli alafu ukawa unawapelekea kwa order. sana hotel za stonetown zile za wageni na za nungwi na kiwengwa.
  2. Njia ya pili ni ya kuuza kienyeji kama inavyouzwa huku dar kwenye ma bar.Njia hii inabidi usiitangaze ila wawe wanajulishana wenyewe kwa wenyewe pia uwe una jina kidogo mji huo ili wakuogope kidogo,kuna mmama anauza njia ya Bweni mama janet ila yeye ni hakimu hivyo wanajua tu wakimzingua wakifika mahakamani wataozea jela kwa hiyo hiyo ndio kick yake (uhakimu wake).wewe kama pia ni polisi mkubwa au unaweza mvuja mkuu wa kituo kutembelea center yako mara kwa mara nayo ni dili watakuogopa.

NB: Vijana wanaofanyaga uhuni wa kusumbua watu wasiuze bia na kitimoto uswahilini ni vijana tu wa mtaani hivyo lazima wawe wanakuogopa, kama hilo huwezi kuwaogopesha ni bora utafute ufanye kwa muundo wa namba moja niliyoielezea ili mtaji wako usije kufa.
 
Wakuu nashukuruni nimepata mawazo mazuri sana. Nitakuwa nawapelekea wateja majumbani/ Door to Door delivery.
 
Zanzibar Spices mskilize kijana huyu.

Hahaha Kioo huyu jamaa anataka kesi.

Jibu fupi tu,,mji huu sio salama kwa Biashara hiyo.Utapotezwa

Labda niliweke hili wazi licha ya kwamba Dini yangu haiuhusu hii kitu ila nimpe muoni mleta uzi.

Sehemw anazouza Nyama hii ni Super markets na nyingi inatoka South Africa ambapo inauzwa kwenye mahoteli makubnwa.
Maana kwa Tanzania hakuna wazalishaji wa Nyama kwa kwiango cha kimataifa na unajua Kitimoto nyama yake inapimwa kwa kiwango cha hali ya juu saana kutoakan na nature ya mnyama mwenyewe kuwa nyemelzi kwa Magonjwa hatari sana ambayo ni rahisi kusambaa kwa Binaadam tofauti na Nyama ya Ng`ombe.
Sasa Hotels kubwa sana zinachukua Super markets,na wengine wanachukau order maalum

Ni sawa na Mauwa ya Rose,mahotel huchukua Order moja kwa moja kutoka Nairobi kisha kupokea Airport karibia kila siku.

Sasa mleta mada kwa style yako ni kwamba usidhubutu kufanya hiyo biashara katika mazingira unayoambiwa.Zanzibar ni zaidi ya unavyoijua wewe.Na Watalii wa Zanzibar wakifika tu wanajua kwamba wapo Zanzibar na sio Arusha au Dar.
So,mfumo wa Utalii upo tofauti sana,kwahiyo usifikirie kwamba utafungua mamalishe uweke kiti moto,hahahah umekwisha.
Utapikwa wewe,
 
kitimoto inalipa sana zanzibar/unguja. na kilo nyingi sana husafirishwa kwa boti kila siku kuingia unguja.

Kuna aina mbili za kuifanya:

  1. Kuuzia mahoteli ya kitalii:hawa huchukua kilo nyingi sana maana piza nyingi za kitalii huwa zinachanganywa na kitimoto.Hivyo unaweza zungukia kutafuta soko kwenye mahoteli alafu ukawa unawapelekea kwa order. sana hotel za stonetown zile za wageni na za nungwi na kiwengwa.
  2. Njia ya pili ni ya kuuza kienyeji kama inavyouzwa huku dar kwenye ma bar.Njia hii inabidi usiitangaze ila wawe wanajulishana wenyewe kwa wenyewe pia uwe una jina kidogo mji huo ili wakuogope kidogo,kuna mmama anauza njia ya Bweni mama janet ila yeye ni hakimu hivyo wanajua tu wakimzingua wakifika mahakamani wataozea jela kwa hiyo hiyo ndio kick yake (uhakimu wake).wewe kama pia ni polisi mkubwa au unaweza mvuja mkuu wa kituo kutembelea center yako mara kwa mara nayo ni dili watakuogopa.

NB: Vijana wanaofanyaga uhuni wa kusumbua watu wasiuze bia na kitimoto uswahilini ni vijana tu wa mtaani hivyo lazima wawe wanakuogopa, kama hilo huwezi kuwaogopesha ni bora utafute ufanye kwa muundo wa namba moja niliyoielezea ili mtaji wako usije kufa.

Hahah huyu Mama Hakim wa Pale Mhakama ya Vuga,na alianza muda mrefu.
Sasa yeye anajilinda kwa kinga hiyo,ila kama mtu yupo kivyake lazima mziki akumbane nao.
Sasa unafanyeje biashara huku roho mkononi?

NB:-Hao Vijana sio hoja,ila sasa hivi wanawezeshwa na vikundi maalum,hili ndio tatizo,hata huyo Hakim aliwahi kukumbana na kashkash moja balaa,ila sema tu sugu
 
Biashara nzuri nasikia inalipa sana lakini kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan biashara si nzuri sana sijui kwanini.
 
Nguruwe ni haramu hata kwako mkristo. Shida ni kwamba ukishaikosa neema ya uislamu hutakuja kuona jambo lolote duniani ni haramu linapokuja suala la kutafuta kipato. Mikopo ya (mkombozi) benki (riba), Premier betting (kamari), bar (pombe), kitimoto n.k vyote vinakuwa halali kwako.

Hapa kwenye mkombozi bank umenikuna, je bank ya watu wa Zanzibar najua inatoa mikopo, thamani ya mikopo yao inawezeje kwenda sawa na anguko la shilingi, pamoja na time value for money? inamaana ukikopa milioni unarudisha milioni?au riba imepewa jina jingine tu lakini maana ni ileile?
 
Hahaha Kioo huyu jamaa anataka kesi.

Jibu fupi tu,,mji huu sio salama kwa Biashara hiyo.Utapotezwa

Labda niliweke hili wazi licha ya kwamba Dini yangu haiuhusu hii kitu ila nimpe muoni mleta uzi.

Sehemw anazouza Nyama hii ni Super markets na nyingi inatoka South Africa ambapo inauzwa kwenye mahoteli makubnwa.
Maana kwa Tanzania hakuna wazalishaji wa Nyama kwa kwiango cha kimataifa na unajua Kitimoto nyama yake inapimwa kwa kiwango cha hali ya juu saana kutoakan na nature ya mnyama mwenyewe kuwa nyemelzi kwa Magonjwa hatari sana ambayo ni rahisi kusambaa kwa Binaadam tofauti na Nyama ya Ng`ombe.
Sasa Hotels kubwa sana zinachukua Super markets,na wengine wanachukau order maalum

Ni sawa na Mauwa ya Rose,mahotel huchukua Order moja kwa moja kutoka Nairobi kisha kupokea Airport karibia kila siku.

Sasa mleta mada kwa style yako ni kwamba usidhubutu kufanya hiyo biashara katika mazingira unayoambiwa.Zanzibar ni zaidi ya unavyoijua wewe.Na Watalii wa Zanzibar wakifika tu wanajua kwamba wapo Zanzibar na sio Arusha au Dar.
So,mfumo wa Utalii upo tofauti sana,kwahiyo usifikirie kwamba utafungua mamalishe uweke kiti moto,hahahah umekwisha.
Utapikwa wewe,

Tena sio kupikwa tu na kuliwa ataliwa mwili mzima hawaachi hata mfupa, SHWAIYN.
 
Ukiweza kuja kuanzisha hiyo biashara Zanzibar utapata faida kubwa sana, wapo wagalatia wengi wanatafuta kula hiyo kitu maana walizoea sana kuila kule bara.

Yote kwa yote kuna mujahidina wengi sana wanapenda sana kula kiti moto wapo Zanzibar lakini tatizo haipatikani kirahisi na pia umbea mwingi sana huku Zenji.

*ANGALIZO: Inataka hekima na ujanja kidogo ili kuanzisha hiyo biashara hapa Zanzibar, maana wapo Wanafiki fulani wanaweza hata kukuua kwa kisingizio cha kudai ni Haramu nk,
 
Biashara nzuri nasikia inalipa sana lakini kipindi hiki cha mfungo wa mwezi wa Ramadhan biashara si nzuri sana sijui kwanini.

Ngongo hiyo dhana siyo kweli kabisa, kwa sasa wakati wa Mfungo, Kiti moto inaliwa zaidi, amini usiamini, kilichobadilika ni mtindo tu, kwa mfano
1/Wateja wengi wanakula usiku na wengi wanataka ifungashwe(Packed) wanakwenda kula Home kama daku!!
2/Wateja wanabadilisha mahali pa kuinunua, wengi wanakwenda sehemu tofauti na walizozizoea hususani za mbali.

Kuna research niliwahi kuifanya kwa kuwauliza wauzaji wa hiyo kitu Dar.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijui kama umeangalia kwa kina suala la RISK ANALYSIS, sijui kama umejiuliza WATEJA WAKO NI KINA NANI? sijui pia kama umekusudia biashara yako iwe endelevu au umeamua tu kufanya ilimradi uwe umefanya?
Umeangalia WAPINZANI wako wa biashara utakabiliana nao vipi?
Sitaki nifikie hitimisho lakini nashawishika kuamini kuwa MAZINGIRA ya biashara SI RAFIKI. Tafuta biashara ambayo HAIKINZANI na MAZINGIRA na tamaduni za walio wengi ili uwe HURU
 
Nguruwe ni haramu hata kwako mkristo. Shida ni kwamba ukishaikosa neema ya uislamu hutakuja kuona jambo lolote duniani ni haramu linapokuja suala la kutafuta kipato. Mikopo ya (mkombozi) benki (riba), Premier betting (kamari), bar (pombe), kitimoto n.k vyote vinakuwa halali kwako.

We unaumwa
 
Anzisha ila kwa huu mwezi utakula hasara ya hatari sio Zanzibar tu hata mikoani ni vilio mda huu.
 
Ushauri tu.
Uhai wako ni Bora kuliko Biashara hii kwa Zanzibar.

Jiulize kwani wanaofanya hii biashara ukiwauliza hawajui wanachokifanya na maisha yao kila siku yapo vile vile.
Maana hata huyu mama Hakim unaesema anfanya hii biashara,Amechoka ile mbaya,huwezi hata kudhania kama ni Hakim kwenye Mahakam kuu

Watu wakikukosa uso kwa uso basi unatiwa kikaangoni,utafanya biashara hiyo hadi unazeeka huna hata moja la maana.
Ulizeni wenzenu watawaambia
 
Hapa kwenye mkombozi bank umenikuna, je bank ya watu wa Zanzibar najua inatoa mikopo, thamani ya mikopo yao inawezeje kwenda sawa na anguko la shilingi, pamoja na time value for money? inamaana ukikopa milioni unarudisha milioni?au riba imepewa jina jingine tu lakini maana ni ileile?

Islamic Banking ni shule ambayo watu wanasotea Degree mpaka PhD.
Nikuulize: Katika soko la hisa, huwa wanalipa riba au faida? Malinyingi
 
Last edited by a moderator:
Ngongo hiyo dhana siyo kweli kabisa, kwa sasa wakati wa Mfungo, Kiti moto inaliwa zaidi, amini usiamini, kilichobadilika ni mtindo tu, kwa mfano
1/Wateja wengi wanakula usiku na wengi wanataka ifungashwe(Packed) wanakwenda kula Home kama daku!!
2/Wateja wanabadilisha mahali pa kuinunua, wengi wanakwenda sehemu tofauti na walizozizoea hususani za mbali.

Kuna research niliwahi kuifanya kwa kuwauliza wauzaji wa hiyo kitu Dar.

Kamari, rushwa, kula riba, kuabudu sanamu, kula nyamafu, ulevi, uongo na ufisadi ni vitendo vya kikafiri yaani vya kikiristo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom