Biashara ya Kitimoto Unguja/ Zanzibar

Sasa hapa kumbe kuanzisha uzi huu ilikuwa ni kuleta Udini?
Kweli watu mawe kweli.Wengine hata sijui shule mlienda kusindikiza wenzenu?

Maana mwisho wa siku badala ya watu kwenda kwenye hoja,na kwa ufupi kama post yenyewe ilikuwa imeishapata majibu na kuwa dhaifi.lakini kumbe target ilikuwa ni kuelekea kwenye Uislam.

Kuna watu Hopeless kabisaa
Kama uzi uliletwa kwa kutaka kujua vyema,kama ni kwa upande wa pili LA`ANATULLAH
 
Biashara ya kitimoto inafanyika sana Zanzibar. Wapo watu wana wateja wao wa kitimoto wakutosha, wanachofanya wana mashamba ya kufugia nguruwe maeneo ya Kigamboni. Kwa wiki wanachinja mara 3, wana boti wanakodisha kusafirisha nyama hadi Zanzibar. Ikipokelewa inasambazwa kwenye mahotel, watu binafsi na jambo la kushangaza wateja wakubwa ni pamoja na mashekh wanapelekewa majumbani kwao.
 
Huo ni uchokozi sasa kwanini zanzibar,nitakunasa vibao hooo,haya sasa kauze mi kitimoto yako uone
 
Nashukuru nimeanza nauza 90kgs kwa siku. Nipo Nungwi karibu na Baraka Beach Bungalow tuna-deliver nyumbani/ofisini kwa usiri mkubwa.
Hongera rusha namba humu tuweke order tukija Ni kuchukua na kuondoka tu. Hatupendi foleni. Pia, ningeshauri, uwe unasafirisha nyama kwa mashua kuliko kuwaleta hao wanyama wakiwa hai huku
 
Kwanini uwatafute watu uchokozi?
Wakikuua useme waislamu wabaya.
Sisi Wakristo hebu tusiwaudhi hawa watu maana huwa wanalipuka vyovyote vile
Kwamba jamaa ukigusa detonator washawaka,waislamu bwana
 
Wadau,

Natamani kuanzisha biashara ya Kitimoto mji wa kitalii Zanzibar. Je, walio wazoefu nijuzeni, inalipa?
Why Zanzibar kwanza na sio pengine ? huenda unajua kitu ambacho wengine hawajui ambacho kitakufanya uwe competitively kuliko wenzako (kama unajua hicho kitu kifanyie kazi) ila kama kwako Zanzibar ndio karibu na convinient kwako ni vema ukaenda field mwenyewe investing in your hard earned cash, ni vema ukapata uhakika zaidi ya kusikia au kuambiwa...
 
Yaani mie ndo hapo mnaponiachaga hoi...kugeuzana wanaume kwa wanaume ni halali...pia kwenda kinyume na maumbile kwa wake zenu ni halali...ndoroobooo weyeee
Waislamu wana mbwembwe za kitoto sana
 
Kamari, rushwa, kula riba, kuabudu sanamu, kula nyamafu, ulevi, uongo na ufisadi ni vitendo vya kikafiri yaani vya kikiristo
Wafuasi mliokua brain washed na mudi mna mbwembwe sana,hapo ukiendelea kuongea utashangaa unesema takbiiiiir then ukajilipua
 
Mwaka 1998 ,Hadi 2002 nikiwa znz ilikuwa kila weekend tunaenda kula bweni kitimoto ba beer enzi hizo safari beer ilikuwa sh 600 ndio zikaja na castle can .

Huyo mama kitambo Sana aisee
 
Wadau,

Natamani kuanzisha biashara ya Kitimoto mji wa kitalii Zanzibar. Je, walio wazoefu nijuzeni, inalipa?
Kwanini usipeleke kule kwetu moshi?Huko Zanzibar utakumbana na kifo tu.......Utasomewa naniliu shauri yako kuna mrombo mmoja alionywa hivyo hivyo mbona alipelekwa mkuu rombo kwa jeneza?

Tujifunze kuheshimu jamii za watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…