vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Tunakuona tu na kukuchora tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WATU HAWAPENDI KUONEKANA WANAKULA, LKINI KAMA UTAKUWA NA TAKE AWAY ITAKULIPA KUNOMAWadau,
Natamani kuanzisha biashara ya Kitimoto mji wa kitalii Zanzibar. Je, walio wazoefu nijuzeni, inalipa?
Halali?Kwa nini nifanye biashara halali kwa kificho?
Hongera rusha namba humu tuweke order tukija Ni kuchukua na kuondoka tu. Hatupendi foleni. Pia, ningeshauri, uwe unasafirisha nyama kwa mashua kuliko kuwaleta hao wanyama wakiwa hai hukuNashukuru nimeanza nauza 90kgs kwa siku. Nipo Nungwi karibu na Baraka Beach Bungalow tuna-deliver nyumbani/ofisini kwa usiri mkubwa.
Kwamba jamaa ukigusa detonator washawaka,waislamu bwanaKwanini uwatafute watu uchokozi?
Wakikuua useme waislamu wabaya.
Sisi Wakristo hebu tusiwaudhi hawa watu maana huwa wanalipuka vyovyote vile
Why Zanzibar kwanza na sio pengine ? huenda unajua kitu ambacho wengine hawajui ambacho kitakufanya uwe competitively kuliko wenzako (kama unajua hicho kitu kifanyie kazi) ila kama kwako Zanzibar ndio karibu na convinient kwako ni vema ukaenda field mwenyewe investing in your hard earned cash, ni vema ukapata uhakika zaidi ya kusikia au kuambiwa...Wadau,
Natamani kuanzisha biashara ya Kitimoto mji wa kitalii Zanzibar. Je, walio wazoefu nijuzeni, inalipa?
Waislamu wana mbwembwe za kitoto sanaYaani mie ndo hapo mnaponiachaga hoi...kugeuzana wanaume kwa wanaume ni halali...pia kwenda kinyume na maumbile kwa wake zenu ni halali...ndoroobooo weyeee
Wafuasi mliokua brain washed na mudi mna mbwembwe sana,hapo ukiendelea kuongea utashangaa unesema takbiiiiir then ukajilipuaKamari, rushwa, kula riba, kuabudu sanamu, kula nyamafu, ulevi, uongo na ufisadi ni vitendo vya kikafiri yaani vya kikiristo
Hawa jamaa ni wanafiki sanaYaani mie ndo hapo mnaponiachaga hoi...kugeuzana wanaume kwa wanaume ni halali...pia kwenda kinyume na maumbile kwa wake zenu ni halali...ndoroobooo weyeee
😂😂😂Astaghafirula walah!
Mwaka 1998 ,Hadi 2002 nikiwa znz ilikuwa kila weekend tunaenda kula bweni kitimoto ba beer enzi hizo safari beer ilikuwa sh 600 ndio zikaja na castle can .Hahah huyu Mama Hakim wa Pale Mhakama ya Vuga,na alianza muda mrefu.
Sasa yeye anajilinda kwa kinga hiyo,ila kama mtu yupo kivyake lazima mziki akumbane nao.
Sasa unafanyeje biashara huku roho mkononi?
NB:-Hao Vijana sio hoja,ila sasa hivi wanawezeshwa na vikundi maalum,hili ndio tatizo,hata huyo Hakim aliwahi kukumbana na kashkash moja balaa,ila sema tu sugu
Kwanini usipeleke kule kwetu moshi?Huko Zanzibar utakumbana na kifo tu.......Utasomewa naniliu shauri yako kuna mrombo mmoja alionywa hivyo hivyo mbona alipelekwa mkuu rombo kwa jeneza?Wadau,
Natamani kuanzisha biashara ya Kitimoto mji wa kitalii Zanzibar. Je, walio wazoefu nijuzeni, inalipa?