Biashara ya Kitimoto Unguja/ Zanzibar

Biashara ya Kitimoto Unguja/ Zanzibar

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wadau,

Natamani kuanzisha biashara ya Kitimoto mji wa kitalii Zanzibar. Je, walio wazoefu nijuzeni, inalipa?
 
Mkuu secrete kwa zenji tengeneza chumba maalumu ambacho uwe unaweka vioo vya tinted pia usiwashe taa
 
Ya halafu nje usiandike kitimoto... wateja watahadithiana wenyewe huko kwao then watakuja
 
Mwacheni hyo mm naona hatak tena kuishi ashatamani akhera akimbilie huo moto
 
Kwa biashara ya mtaani sahau, lakini kwa Ku sambaza ktk mahoteli inawezekana. Cha msingi Ni kufanya survey ya soko kwanza ktk mahoteli ya ufukweni nje kabisa ya mji utapata kujua kila kitu.
 
Wadau natamani kuanzisha biashara ya kitimoto mji wa kitalii znz je walio wazoefu nijuzeni inalipa?

Huo ni kutafuta uchokozi tu ngoja ufanywe kitu mbaya ndiyo utajua
 
zenji kitimoto kipo, kuna bar flan ipo maeneo ya mbweni, panaitwa kwa mama janet.. ila jins sehem ilivyo ni nyuma ya bar imekaa dizain kifichoni hiv... hata bar yenyewe imejificha sio kama huku bara bar zipo waziwazi...

Mama Janet ni Judge wa Mahakama Zenj.
Ila kama una eneo kubwa unaruhusiwa.Kuna masister wanafuga kabisa maeneo ya mbweni ndanindani.
 
Kwa nini nifanye biashara halali kwa kificho?
Nguruwe ni haramu hata kwako mkristo. Shida ni kwamba ukishaikosa neema ya uislamu hutakuja kuona jambo lolote duniani ni haramu linapokuja suala la kutafuta kipato. Mikopo ya (mkombozi) benki (riba), Premier betting (kamari), bar (pombe), kitimoto n.k vyote vinakuwa halali kwako.
 
Nguruwe ni haramu hata kwako mkristo. Shida ni kwamba ukishaikosa neema ya uislamu hutakuja kuona jambo lolote duniani ni haramu linapokuja suala la kutafuta kipato. Mikopo ya (mkombozi) benki (riba), Premier betting (kamari), bar (pombe), kitimoto n.k vyote vinakuwa halali kwako.

Yaani mie ndo hapo mnaponiachaga hoi...kugeuzana wanaume kwa wanaume ni halali...pia kwenda kinyume na maumbile kwa wake zenu ni halali...ndoroobooo weyeee
 
Mfalme wa mezani anapendwa sana na watalii pamoja na wazawa wanaojua utamu wake. Nenda ukajiingizie mamilioni mkuu.
 
Back
Top Bottom