Ebwanaee.. Mmenikumbusha majanga ya hii kitu, niliwahi kula kwa kutokuelewa pale forodhani Zanzibar. Ukienda pale mida ya jioni unakuta mishkaki kibao mizuriiiii sindio kuuliza nikaambiwa fish. Kumbe jamaa alisema snail fish nikakandamiza kidume, weeee acha balaa liniangukie. Sitosahau
Duniani kuna mambo.
Ghana wanafuga african snails ...wanakua ndani ya mwaka 1,wanazaliana kwa wingi Sana ....wale wa Europe wanakua ndan ya 3 yrs..by the way ni good business
- It typically takes three to six months for a snail egg to hatch and grow into a full-sized adult
Acha banaaa, kuna njemba zinakula hata mamba na zinasifia sana nyama yake dah!!!!!
Kama unao hawa basi Australia ni bonge la food
Kila nyama inaliwa.
Nalog off
Kula ya kunguru uone.
Mkuu tunakula mida hii maada za haina hii hazifai.
kome zile (konokono wa baharini) tamu sanaEbwanaee.. Mmenikumbusha majanga ya hii kitu, niliwahi kula kwa kutokuelewa pale forodhani Zanzibar. Ukienda pale mida ya jioni unakuta mishkaki kibao mizuriiiii sindio kuuliza nikaambiwa fish. Kumbe jamaa alisema snail fish nikakandamiza kidume, weeee acha balaa liniangukie. Sitosahau