Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #21
Ebwanaee.. Mmenikumbusha majanga ya hii kitu, niliwahi kula kwa kutokuelewa pale forodhani Zanzibar. Ukienda pale mida ya jioni unakuta mishkaki kibao mizuriiiii sindio kuuliza nikaambiwa fish. Kumbe jamaa alisema snail fish nikakandamiza kidume, weeee acha balaa liniangukie. Sitosahau
Vipi bei yake lakini ni ya kawaida au ?
Kwakweli mtu ukila hii bila kujua ukiambiwa unaweza ukatapika mwaka mzima kila ukikumbuka wewe ni kutapika tu, ila kama zenji ni deal basi mtu unaweza ukawa na mabanda yako ya kutosha uani na hawa viumbe wa kumwaga ni kuwapa majani na kuwavuna tu