Biashara ya Konokono

Biashara ya Konokono

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Baada ya kuona hii article hapo chini imenikumbusha kwamba hii kitu ina market sana Ghana na Nigeria.. (kweli one Man's meat is another Person's Poison)

Austria's only snail farmer
_77324622_14332218329_260c5566e2_k.jpg

The 40-year-old is Austria's only full-time professional snail farmer, producing 300,000 per year for human consumption.

“Start Quote

[Snail liver] has a very fine, nutty taste and is a beautiful complement to fish”
Andreas Gugumuck

With 1kg of snail meat selling for up to 80 euros ($105; £63) it is a lucrative business. Mr Gugumuck sells up to 1.5 tonnes of snails per year to restaurants across Austria, and via exports, predominantly to Germany and the US. And he recently flexed his entrepreneurial muscles by diversifying into selling snail caviar - yes, snail eggs - and snail livers.

He says it is a significantly more enjoyable job than his previous life working in IT.

_77324236_14332163330_e296d042f1_k.jpg

_77324230_14517454614_fe56adc5a5_k.jpg

Snails eggs and livers fetch premium prices

Kwa Habari Zaidi
BBC News - Austria's only snail farmer
 
Snail facts
_77325977_14332408507_f51a6eaddc_k.jpg

  • The process of raising snails for human consumption is known as heliciculture
  • It typically takes three to six months for a snail egg to hatch and grow into a full-sized adult
  • Snails have been eaten by humans for thousands of years
  • The three main varieties eaten in Europe are the Burgundy, brown and lucorum snails
  • Most snails consumed in Europe are farmed in Poland
  • The French remain the world's biggest consumers of snails, getting through more than 30,000 tonnes per year
  • Snails in France are typically served in a garlic butter sauce
  • Before being cooked, snails are typically not fed for two days to remove any toxins they may have recently consumed

Source: BBC News - Austria's only snail farmer
 
Duuh!! Kweli kua uyaone, hawa wadudu hata kuwaona sipendi kumbe ni dili?
 
Duuh!! Kweli kua uyaone, hawa wadudu hata kuwaona sipendi kumbe ni dili?

Kilo moja ya nyama ya konokono ni Tshs. 168,000 (kwa exchange rate ya 1600)

Ila kuna jamaa yangu alikuwa mtu wa Ghana aliniambia kwao ni deal sana ila wale wanaowafuga ni makubwa makubwa na sio hivi vidogo vidogo..

Ila kwa mimi labda niwafuge nipige pesa tu na sio kuwafanya kitoweo
 
Mkuu japo kuwa si vyema mimi kupinga ulaji wa nyama hii kwa mtu anaye kula, ila ukweli wadudu hawa wanatia kichefu chefu, mimi nilikuwa nasikia eti watu wanakulaga ila kwa macho yangu nilikuja kuona nchini msumbiji tena hapa karibu na Tanzania kwenye wilaya moja iitwayo mweda. nilienda sokoni nikakuta wamewekwa kwenye meza wanauzwa pamoja na panya na wamakonde wa msumbiji walikuwa wanagombania sana. nilinunua mkate mpaka nilipo enda sehemu nyingine ambako hawali. kichefu chefu sana bana. au siyo?
 
Ni kweli ila kama pesa yake ndefu mtu unauza tu na kupiga pesa.., vipi bei ya huko Msumbiji ilikuwa inalipa ? Nione utaratibu wa kuanza kuwafuga na kuwasafirisha huko
 
Ni kweli ila kama pesa yake ndefu mtu unauza tu na kupiga pesa.., vipi bei ya huko Msumbiji ilikuwa inalipa ? Nione utaratibu wa kuanza kuwafuga na kuwasafirisha huko

watu wanakula mkuu tusiwakwaze wengine hawapendi hata kusikia kitu hiyo. next time byeee
 
watu wanakula mkuu tusiwakwaze wengine hawapendi hata kusikia kitu hiyo. next time byeee

Mkuu niambie bei yake bana kwani wanakula ugali kwa mboga ya JF si wange-pause kwanza JF watuache sisi tuchangamkie fursa... Hapa issue sio kula ni kuuza
 
Mi hata kuwaaikia hao najisikia vibaya!
 
Mkuu tunakula mida hii maada za haina hii hazifai.
Umenifanya nicheke peke yangu. Aisee inatia kichefuchefu lakini kwa mlaji mate ndo yanamtoka akiona hii mada. Hawa wadudu ni kitoeo kizuri sana kwa wamakonde chale kule kwetu Mtwara. Huwa na msimu wao wa kuzaana ukichanganya hata shambani kwetu wanajaa sana utakuta wanakuja kutuomba wawaondoe :laugh:"watusafishie shamba".:laugh:
 
Mkuu japo kuwa si vyema mimi kupinga ulaji wa nyama hii kwa mtu anaye kula, ila ukweli wadudu hawa wanatia kichefu chefu, mimi nilikuwa nasikia eti watu wanakulaga ila kwa macho yangu nilikuja kuona nchini msumbiji tena hapa karibu na Tanzania kwenye wilaya moja iitwayo mweda. nilienda sokoni nikakuta wamewekwa kwenye meza wanauzwa pamoja na panya na wamakonde wa msumbiji walikuwa wanagombania sana. nilinunua mkate mpaka nilipo enda sehemu nyingine ambako hawali. kichefu chefu sana bana. au siyo?

ukibahatika kuona wanachemshwa; sufuria inajaa povu kama la sabuni ya unga iliyotibuliwa kwenye maji.
 
Duuh!! Kweli kua uyaone, hawa wadudu hata kuwaona sipendi kumbe ni dili?

Mkuu kwa Australia konokono, kaa ni deal sana unaenda casino au hotel za maana unakuta hizi vitu...vinatishs lkn
 
Ebwanaee.. Mmenikumbusha majanga ya hii kitu, niliwahi kula kwa kutokuelewa pale forodhani Zanzibar. Ukienda pale mida ya jioni unakuta mishkaki kibao mizuriiiii sindio kuuliza nikaambiwa fish. Kumbe jamaa alisema snail fish nikakandamiza kidume, weeee acha balaa liniangukie. Sitosahau
 
mkuu tupe ushuhuda ladha yake ipo vp?
 
Back
Top Bottom