Wamefanikiwa kununua korosho!!!!Tangu lini jiwe na mwanae daudi wakafanikiwa kwenye maamuzi yao!
Bado hawajafanikiwa!!,Watu wanalia kilio cha mbwakoko huko kusini!!Wamefanikiwa kununua korosho!!!!
hahaha! Nasikia kunawafanya biashara hewa?Bado hawajafanikiwa!!,Watu wanalia kilio cha mbwakoko huko kusini!!
Tupo wazee wa kangomba tumekamatika mwaka huu!,Tunalia kilio cha mbwakoko!hahaha! Nasikia kunawafanya biashara hewa?
Kusije kukawa na korosho hewa pia!!!!
Birashaka walishafanya upembuzi yakinifu!anaeshangaza ni tajiri na mwenye kaya,anajua kuwa iyo biashara inakata ila kaamua kununua kwa bei ya juu kuliko bei ya soko kwa ajili ya kutaka sifa kwa ya kodi za watanzania wote.bei ni 3300 ukijumlisha na running cost inaweza fika 3600 per kg.sasa uuuuataenda uza kwa bei gani ili apate faida?na soko gani?lakin alishasema ikishindikana tutaanga na kugawana kg 2 kwa kila mtz.
Wapi wamelia unao ushahidi wa watu kulia?Bado hawajafanikiwa!!,Watu wanalia kilio cha mbwakoko huko kusini!!
Hamna kitu ni muendelezo wa kukurupuka tu,siku alipotangaza kuwa jeshi litatumika kununua dk chache nyuma waziri mkuu alisema yapo makampuni yaliykubali kununua lakini Bwana mkubwa hakutaka ata kumpa nafasi.Birashaka walishafanya upembuzi yakinifu!
au huwa ni Kiswahili tu?
Mfano mimi ndo kangomba mwenyewe jana wamenikamata na tani 20 nimesepa nimewaachia korosho kiroho safi nimekuwa mzalendo haswaaa!!Wapi wamelia unao ushahidi wa watu kulia?
Hapo umetoa ushahidi wa watu kulia?Mfano mimi ndo kangomba mwenyewe jana wamenikamata na tani 20 nimesepa nimewaachia korosho kiroho safi nimekuwa mzalendo haswaaa!!
Alimpa nafasi na akaelezaea vizuri kabisa lkn Mh akayakataa hayo makampuni. Pengine ulikua husikiluzi au ulikuta kipengele hicho kimashapita.Hamna kitu ni muendelezo wa kukurupuka tu,siku alipotangaza kuwa jeshi litatumika kununua dk chache nyuma waziri mkuu alisema yapo makampuni yaliykubali kununua lakini Bwana mkubwa hakutaka ata kumpa nafasi.
maana yangu walitakiwa kuelezana huko ndani na kukubaliana nn kifanyike ndio watoke na msimamo mmoja.Alimpa nafasi na akaelezaea vizuri kabisa lkn Mh akayakataa hayo makampuni. Pengine ulikua husikiluzi au ulikuta kipengele hicho kimashapita.
Nawapa pole wafanya kazi wa taasisi za serikali.Najua kunamfanya biashara mpya ambaye ndiye anayenunua korosho kwasasa!
Hofu yangu ni kama kweli mfanya biashara huyo anajiamini na biashara yake!
1. kama biashara anayoifanya anategemea kupata faida kwa nini anaogopa kununua mzigo wa korosho kutoka nje?
2. Je mfanya biashara huyo anauhakika na soko atakako kwenda kuuza mzigo huo?
Nilidhani kama mfanyabiashara huyo anamtaji wa kutosha na bidhaa zikapatikana kwa wingi kutoka kokote kule, hiyo ndiyo ingekuwa furaha yake!!!
Naomba kueleweshwa hapo!!!
Serikali haitafuti faida bali inaepusha hasara kwa wakulima hata kama korosho hiyo itauzwa 3300 kumbuka hiyo korosho kama itauzwa nje kuna export levy inaweza fidia gharama nyinginezo, na kama korosho itabanguliwa na kuuzwa katika soko la ndani serikali itapata VAT ambayo ni 18% juu ya bei ya bidhaa.anaeshangaza ni tajiri na mwenye kaya,anajua kuwa iyo biashara inakata ila kaamua kununua kwa bei ya juu kuliko bei ya soko kwa ajili ya kutaka sifa kwa ya kodi za watanzania wote.bei ni 3300 ukijumlisha na running cost inaweza fika 3600 per kg.sasa uuuuataenda uza kwa bei gani ili apate faida?na soko gani?lakin alishasema ikishindikana tutaanga na kugawana kg 2 kwa kila mtz.